Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,889
- 32,289
Kiongozi gani wa kamati kuu aliyethibitisha hivyo?
Naona akili inagoma kabisa kukubali ukweli daahh! Siyo wewe pro-Chadema wengi hawajui chakufanya hata hawa waliokupa like kwenye hiyo twit ambayo haijulikani ni ya nani.
Angalia hii video ya UKAWA hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=E4ZEVneG3vs&feature=youtube_gdata_player
MASWALI.
Mnamualika au mnamkaribishaVyama vilikuwa vinasema Lowassa ni dhaifu, leo amekua Imara?Mnamkaribisha kuingia chama gani maana UKAWA ina vayama vingi?Akikubali kujiunga na nyinyi leo hii mtakubali agombee nafasi ya urais?Lini mtamtambulisha mgombea wenu urais?