Alinda,
Pengine wewe unachanganyikiwa na maneno ya Mchambuzi ambaye leo kapindua na anazungumzia National Savings, akidai kwamba hata nchi ikipokea misaada ni savings za watu huko nje kwa sabau tu kasoma!..Mimi simuelewi kabisa anapokuja na haya maswala la kutafsiri Capital ni kitu gani wakati hakuulizwa. Hata wewe kama huna Mtaji, ukaenda kopa kwa watoa mikopo ukaweka nyumba yako rehani huwezi kudai kwa urahisi kuwa hizi ni savings zako nje wakati unadaiwa fedha zile na umeweka nyumba rehani. na mkopo huu hauhusiani na mshahara wako bali unategemea biashara ulotaka kufungua itaweza kutrudisha mkopo huo ukarudishiwa nyumba yako.
Huyu jamaa yangu anatupa tafsiri lakini asieleze kwa kina jinsi gani mkopo wako unaweza kuwa muhari kwako pamoja na kwamba una kazi isipokuwa azungumzie biashara ama huduma unayotaka kuwekeza. halfu huyu huyu anazungumzia IMF kwa ubaya wake wakati ukimgeuza huku anasema hizi ni savings na kuanza kuzielezea kama vile kaulizwa..
Ubishi wangu na Mchambuzi unaweza nipeleka nikasema ama nikaandika vitu ambavyo sikutaka kusema kwa sababu sijui namna ya kujieleza mnavyotaka nyie. Haya mtazame sasa anashindwa kunielewa kuhusu Pato la taifa na Kodi, japo nimemuwekea link ya video ambayo inazungumzia uchangiaji wa Pato la Taifa (what we invested in) na Kodi itatokana na kile tulochowekeza after gaining profit.
Pengine anataka nimwambie tena akaisikilize kisha anambie ni wapi walipozungumzia kodi kama anavyodai yeye. Tunapozungumzia Chai hyuwezi ku isolate sukatri ndio ikawa mjadala wa Chai hapo ndipo nisipokubaliana naye. Chai ni Chai tuzungumzie Chai na unywaji wake sio kurudisha nyuma kuhusu upatikanaji wa sukari au sukari ni kitu gani. nani alouliza sukari inapatikana vipi!
Alinda una biashara yako wewe na unapotazama maendeleo yake huwezi kuondoa matumizi yako wewe nyumbani tokana na mafao ya biashara yako ukavaa vizuri, ukala vizuri ukaendesha gari kubwa yote ni kutokana na uwekezaji wako haina maana nguo hizo pia tuziweke katika mazungumzo japo tunajua pasipo kula usingeenda kazini kesho. Kama tunazungumzia Biahsra yako tuzungumzie biashara yako nisichotaka miye ni kuanza kusema pasipo gari ungefikaje kazini, sijui ungekuwaje..Sijui kama mnanielewa..
Alinda unaweza fungua Biashara ya kuuza chakula Bandari, lakini kutokana na uchanga wa Biashara ikakuchukua miaka mitatu kuanza kupata faida. Kutokana na hasara ya biashara hutalipa kodi, hii hainamaana huna mchango katika pato la Taifa laa hasha unachangia. Utakapoweza kupata faida na ukalipa kodi utakuwa umeongeza mchango wa Pato hilo vile vile lakini huwezi chukua Kodi kama kielelezo cha Pato la taifa ndicho nachomkatalia Mchambuzi..
Sipendi kuendelea na ubishi huu kwa sababu haunipeleki popote zaidi ya kujikuta nazungumza vitu ambavyo sikupenda ama vinatuondoa katika mjadala.
NB:- Umesema nakuja na vioja sio. basi kwa kutumia KODI kama mnavyoitangaza nawaomba mtuambie - KWA NINI WATANZANIA NI MASKINI ilhali nchi tao ni tajiri (GDP kubwa inayoonyesha)