General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Sijafurahishwa na uamuzi wa mahakama
Demokrasia zilizoendelea ndizo hizo.Sijafurahishwa na uamuzi wa mahakama
Mimi kwa hili la Brexit niko interested zaidi na athari kwa masoko ya fedha hasa kwa pair ya GBPUSD, hali hii ya sintofahamu mpaka sasa naona itapelekea pound kudondoka hadi kufikia low ya 1985 ambabo mpaka sasa ni takribani miaka 34 imepita (je soko litakumbuka hii historia?).Pound crash ya mwaka 1992 ,2008 na ile crash ya June 2016 wakati wa kura ya kujitoa EU yote naona iliashiria kuileta pound chini zaidi, ila mwisho wa siku naamini muafaka utapatikana utaopelekea uchumi uanze kuimarika tena kuanzia mwakani.
Nimegusia hili la masoko ya fedha baada ya kujaribu kuianalyse chart ya currency pair husika ya tangu mwaka 1971 mpaka sasa
Malikia anataka nchi yake...EU wanamchimba mkwara...!!! Malkia kasema liwalo na liwe kupitia kwa Boris Jonson(UK-PM) kwamba lazima UK ijitoe EU kwa makubaliano ama bila makubaliano ifikapo mwishoni mwa mwezi huu. Scotland nao wanasema hawataki kujitoa EU...na wanasea wako mbioni kuitisha 'referendum' nyingine kujitoa UK. Yaani UK ni 'volatile' kuelekea October 31, 2019 !!!Bandugu,
Hitimisho la Brexit ni lipi? Wengine tushapoteza uelekeo ni upi.
Malikia anataka nchi yake...EU wanamchimba mkwara...!!! Malkia kasema liwalo na liwe kupitia kwa Boris Jonson(UK-PM) kwamba lazima UK ijitoe EU kwa makubaliano ama bila makubaliano ifikapo mwishoni mwa mwezi huu. Scotland nao wanasema hawataki kujitoa EU...na wanasea wako mbioni kuitisha 'referendum' nyingine kujitoa UK. Yaani UK ni 'volatile' kuelekea October 31, 2019 !!!
Kwa kifupi ni hayo.
Kwa jinsi "alivyoshupaza shingo" Boris (UK-PM), kuna uwezekano mkubwa.Ina maana Brexit itakuwepo wiki ijayo?
Kwa jinsi "alivyoshupaza shingo" Boris (UK-PM), kuna uwezekano mkubwa.
I will believe in Brexit happening when I see one actually happened... TPTB won't let that happen, IMHO.
Kukiwa na Brexit kweli [Next week], itanibidi niajasti parameter za modeli yangu ya mzunguruko wa ulimwengu.
Mkuu Brexit isingeweza kutokea. Boris ni sawa na Trump wote wakidhani wana nguvu kubwa kuliko za wananchi kupitia uwakilishi wao.Januari 2019
OK. November Mosi. Ya nini kumung'unya maneno:
Brexit ni dog and pony show kwenye smoke and mirrors. Danganya toto. Hakuna Brexit. Hakutakuwa na Brexit. Hakutakuwa na Brexit wakati TPTB hawataki.
Mkuu Brexit isingeweza kutokea. Boris ni sawa na Trump wote wakidhani wana nguvu kubwa kuliko za wananchi kupitia uwakilishi wao.
...
Mkuu Mlenge
Mwanzo wa Brexit katika uzi huu tulieleza kosa kubwa lililofanywa na ''wengi''
Wananchi wa UK waliongozwa na opinion poll zilizosema majority wanataka kubaki EU
...
Option zote hizo zinazaa maswali haya
1. Kura irudiwe tena ili wananchi waseme tena
2. Bunge livunjwe ili wananchi wachague wabunge ili kufanikisha au kutofanikisha Brexit deal
Kwa kumalizia na mtiririko huo nilioueleza, maamuzi ya wananchi yameheshimiwa kwa UK kuruhusiwa ku trigger article 50 of Lisbon Treaty.
Ugomvi si kujitoa tena, ugomvi ni namna gani ya kuondoka na ugomvi huo upo house of common ukichagizwa na interest tofauti za makundi tofauti.
Tusemezane
Of course there is. A Remainer Parliament failing to carry out the wishes of the people and then going back and saying you got it wrong vote again is not democracy.
politicalbetting.com » Blog Archive » Latest YouGov tracker finds the Brexit “wrong” lead over “righ - Page 5
Mr B2, Your enthusiasms for referendums does you credit. On the EU, we must have a referendum if public opinion changes?politicalbetting.vanillacommunity.com
Dear Voters,
Parliament has considered the recent opinion proffered by the electorate that the UK should leave the EU, and regrettably has found that opinion to be rabid, pig-ignorant and stultifyingly ill-informed.
As such, we will not be bringing forward legislation to enact this terrible opinion at this time.
Parliament thanks you for the opportunity to be involved in your poorly thought out opinions, and hopes you will consider us again next time you need somebody to point out when you're being massive idiots.
Kindest Regards,
Parliament
politicalbetting.com » Blog Archive » Latest YouGov tracker finds the Brexit “wrong” lead over “righ - Page 5
Mr B2, Your enthusiasms for referendums does you credit. On the EU, we must have a referendum if public opinion changes?politicalbetting.vanillacommunity.com
Its the same thing. The politicians telling the electorate they got it wrong and have to do it again. We can point to the same thing in plenty of other EU votes where the EU side lost and they told the electorate to do it again. If you think that is a message that will be welcomed by most people who voted Leave then you really are out of touch.
That is certainly the message all of us on the Leave side will be pushing from now on.
Parliament thinks you are too stupid so you have to vote again until you vote the way they want.
politicalbetting.com » Blog Archive » Latest YouGov tracker finds the Brexit “wrong” lead over “righ - Page 5
Mr B2, Your enthusiasms for referendums does you credit. On the EU, we must have a referendum if public opinion changes?politicalbetting.vanillacommunity.com
Nifanyaje ili nami niwe naelezea vitu kwa kina na maarifa kama wewe?Mkuu Mlenge
Kura ya maoni ya Brexit ilikuwa na vitu viwili, Yes kwa maana ya kujitoa na No kwa maana ya kutojitoa EU. Wananchi walio wengi walipiga kura ya Yes kwa kutazama matokeo yalivyo
Kura ya Yes ikaheshimiwa ''by triggering the article 50 of the Lisbon Treaty''.
EU wakapokea ombi la article 50 kwamba UK inajitoa, hivyo ukapangwa muda wa kujitoa
UK wakakubali kulipa gharama za michango yao ndani ya EU kwa mujibu wa mkataba nakupewa tarehe ya kumalizana na EU ambayo ilikuwa ni October 30.
EU kama nilivyoeleza walichukua maamuzi yatakayohakikisha nchi nyingine wanachama hazichukui uamuzi wa UK kwa kudhani zitapata fadhila za EU zikiwa nje ya EU.
UK wanataka kupata fursa ya soko la EU kwa kile kinachoitwa common market
Wanataka kupata fursa za Raia kunufaika na uwepo wa EU wakati wakiwa si wanachama
Mfano, bandari za UK zimekuwa lango la ku access EU market kutoka masoko ya dunia
Nje ya EU, Bandari hizo zitapoteza mapato ikiwemo ajira za wananchi ambao ni wa UK
UK wanashauri N. Ireland iendelee kuwa mwanachama wa EU.
EU wanasema huwezi kuwa na sehemu ya nchi ndani ya EU hilo litaipa UK fursa ile ile
Ugomvi ukaondoka EU na kuwa wa ndani ya UK kama tulivyoeleza hapo awali
Sasa baada ya BREXIT kuheshimiwa kwa kutimiza matakwa ya article 50 of Lisbon treaty kazi ya kuandaa sheria zinazohusiana na kujitoa EU si za wananchi ni za Bunge, House of common. Hapo ndipo Brexit ilipotua ndani ya House kisheria kama watunga sheria
EU wameridhia kabisa kwamba UK inaweza kuondoka bila kuwa na mahusiano na EU
Kwa maana hiyo EU haina mkono wowote kwa ugomvi wa ndani ya UK
Kuchelea hilo, kujitoa bila kuwa na mkataba mahususi na EU kumeligawa Bunge.
Hilo limefanya kazi ya kupata vote kutoka quorum ya 650 MPs kuwa ngumu.
Ikitafutwa kitu kinachokubalika kwa pande zote, BREXIT DEAL.
Hii iliundwa ili kuhakikisha UK inajitoa kukidhi matakwa ya wananchi, lakini pia wahafidhina.
Hilo halitoshi kupata majority vote, Brexit deal imelenga pia kuwapa kidogo pro-EU
Kitu kinachounganisha makundi yote ni ukweli kuwa huwezi kuwa ndani ya Europe, halafu ukawa huna mahusiano na EU.
Wote wanataka kuwepo na ''kamkataba' na EU. Tatizo ni je,Brexit deal inakubalika kwa wote?
Kwahiyo si tatizo la EU hata kidogo, UK wana option ya kuondoka bila deal.
Tusemezane
Mkuu unaweza sana tena utaeleweka vizuri. Baadhi ya mambo ya kuzingatia ni;Nifanyaje ili nami niwe naelezea vitu kwa kina na maarifa kama wewe?
TATHMINI YA UCHAGUZI WA UK itafanywa kwa kuangalia nukuu za bandiko hapo juu.BREXIT NA BREXIT DEAL ZAPELEKEA UCHAGUZI
Katika zile ''option'' mbili tulizoeleza huko nyuma moja ndiyo mwelekeo wa UK ndani ya EU
Kwa marejeo, tulisema kuna njia mbili, kuvunja bunge ili kupata Wabunge wapya huenda kukawa na mtazamo mpya wa Brexit deal, au kuiondoa UK bila Brexit deal
PM Boris akawa hana ujanja maana mahakama imesema, ilidbidi arejee katika Bunge lile lile alilotaka kuliruka akiwa na Brexit deal mkononi. Tatizo ikabaki pale pale, kura hazitoshi.
Boris akarejea katika option zilizopo ambapo moja ni kuitisha uchaguzi wa mapema.
Uchaguzi huo ulipingwa na Labor ambao ni Wapinzani wakuu ndani ya Bunge.
Hata hivyo Labor wamekubaliana na uchaguzi kwasababu hata wao hawana mbadala wa kuiondoa UK katika mkwamo huo wa kisiasa ''political impasse''
Uchaguzi umepangwa Dec 12, 2019 ikiwa ni muda nadra sana katika historia ya nchi hiyo.
Bunge litakapoitishwa kutakuwa na mabadiliko ya aina ya Wabunge na idadi ndani ya vyama.
Tatizo la Brexit deal ni lipi?
Tatizo lipo kwa UK hasa kwa ''nchi'' zinazounda Union jack(Bendera yao).
Haijulikani Scotland wataamua nini, N.Ireland watasema nini, Great Britain watasema nini
EU wanasema UK kama inataka kubaki katika common market, ihakikishe nchi za EU zina access market yao. Hilo ni tatizo kwani ndicho chanzo cha Brexit
EU hawataki kuwa na N.Ireland au Scotland tofuati kwani Great Britain itatumia mwanya huo ku access common market wakati ikiweka kauzibe kwa wananchama wa EU
No deal maana yake ni moja, UK itakuwa ''kisiwa' ndani ya EU jambo litakalozorotesha uchumi
Wahafidhina wanasema UK inaweza bila EU. Tatizo miongoni mwao ni kuwa wahafidhina wa vijijini wanaamini UK ya Malkia na Pound sterling, hawa wengi hawana weledi mpana.
Wahafidhina matajiri wanasema yes wajitoe lakini kuwe na deal ili ku access common market, people, goods and capital movement
Waliberali wanasema hilo ni kuumiza wananchi, ima warudi EU au kuwe na Brexit Deal
Tusemezane