During sex, Wanaume akili zenu huwa mnaziacha wapi?

*UFUNUO KTK TENDO LA NDOA..!!*
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanaume wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka
2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea
3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to themaximum)
MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa
2) Nguvu za mwili huongezeka
3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni).
Katika hayo kuna mambo
tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana vitabu vya mungu vinasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa
sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili
na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika”

Kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!
Nadhani wanaume tunapata somo letu
hapa;

“Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaiiiiiiiiiiiniiiiiiii”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!
Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda!
Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe!

Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra. Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”.

Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili.

Mungu awabariki sana ...
Kama namuahidi gari uongo ili nilambe kinembe tu unajuaje
 
Uongo ..nyiye wanawake hata hamkumbuki kutumia Kinga mpaka mkumbushwe ...kwani nani anakuwa hana akili hapo ?
 
Leta ushahidi wa kitaalamu kuthibitisha hili

"3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni)"
 
*UFUNUO KTK TENDO LA NDOA..!!*
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanaume wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka
2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea
3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to themaximum)
MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa
2) Nguvu za mwili huongezeka
3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni).
Katika hayo kuna mambo
tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana vitabu vya mungu vinasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa
sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili
na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika”

Kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!
Nadhani wanaume tunapata somo letu
hapa;

“Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaiiiiiiiiiiiniiiiiiii”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!
Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda!
Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe!

Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra. Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”.

Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili.

Mungu awabariki sana ...
huyo labda ni mwanamke wako usifikiri wote wapo hivyo kuna wengine Akili huwa inaruka kabisa na mpaka unasikia anakuita baba ,mara nisamehe, mara usiniache, mara analia na wengine mpaka wanajamba na kujikojolea kama sio kujinyea kabisa kwa raha.sasa huyo mwanamke uliyempata wewe akawa na akili ulipokuwa kileleni utakuwa ulikuwa humsugui vizuri.ukimpa vizuri anachizika kabisa.Jaribu uongeze uzoefu
 
Inategemea na mwenendo wa mechi, mbona huwa inafikia kipindi mwanamke humtukana hata mzazi wake, na kuropoka hata yasiyojulikana, baadae ukija kumuuliza, anakuwa hata hajui alisema kitu gani. Labda huyo mwanaume ni wale wa kuingisa na kutoa tuu. Ila mi ndio akili huongezeka zaidi ninapopiga msalikwaju.
 
amina kwa kweli umesema vyema.. hakuna mwanaume mwenye nguvu mbele ya papuchino
Hivi na wale wanaochupesha mihela ya waume zao nazitupa kwa michepuko ili wasiachwe inakuwaje, au pia tuseme hakuna mwanamke mwenye nguvu mbele ya ndwanga.
 
Zamani nilivokua napenda nilikua hivyo ila siku hizi nakula papuchi na akili inasoma 99% na 1% kwenye papuchi over.
 
Back
Top Bottom