During sex, Wanaume akili zenu huwa mnaziacha wapi?

Hi hataree mimi nlishamuahidi mdada katikatika ya mechi ntamfungulia duka cku 3 bdae ananikumbusha vipi ahadi yetu....nkamwambia utakua umekosea no sio mimi
 
Daah kuna wadada kwenye ilo tendo hawana aibu kabisa

Kuna watu wanavipaji bhana...akiingia tu eneo la tukio anasaula kila kitu anabaki anakutazama ukizubaa zubaa tu na we unasauliwa mpàka na ya ndani...
 
*UFUNUO KTK TENDO LA NDOA..!!*
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanaume wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka
2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea
3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to themaximum)
MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa
2) Nguvu za mwili huongezeka
3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni).
Katika hayo kuna mambo
tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana vitabu vya mungu vinasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa
sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili
na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika”

Kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!
Nadhani wanaume tunapata somo letu
hapa;

“Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaiiiiiiiiiiiniiiiiiii”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!
Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda!
Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe!

Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra. Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”.

Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili.

Mungu awabariki sana ...
Akili zetu huwa tunazitumbukiza na dushe mule ndani, ktk mechi akili huamia kichwa cha chini. Hivyo tuwaulize nyie mnawekaga nini humo mpaka dushe linatolewa akili na akili kwa jumla inapotea.
 
Utafiti wako sikubaliani nao.

Kama wanaume akili zao hua sifuri basi hata wanawake akili zao hua sifuri kwa sababu kila mtu anapopata hisia kiwango kikubwa cha damu hushuka chini (sehemu za siri) hii ndio humaanisha erection ya uume na erection ya clitoris (kisimi).
Upungufu wa damu kwenye ubongo ndio hupelekea uwezo wa kufikiri kupungua wakati tunapofanya ngono.

Hata wanawake wanapokua katika climax wanaweza kuahidi jambo kubwa kuliko uwezo wao halisi(hili nina ushahidi nalo).

Mfano wa Delila na Samsoni ni mfano ambao hauendani kabisa kwa kua Delila alikua anatekeleza mpango maalumu aliotumwa (mission) na endapo Samsoni angetambua kwamba Delila yupo katila mission basi angejua ni jinsi gani aepukane nae, nasema kushindwa kwa Samsoni ni kwasababu hakujua kama ana deal na adui, hivo hivyo hata mwanamke ukimtongoza kwa lengo la kuzini nae hataweza kutambua kama lengo lako ni kuzini nae tu na sio kumuoa kwa maana mwanaume utakua unajua uko katika mission ya kuzini ilihali mwenzio atajiachia anajua yupo katika safari ya kuolewa kumbe sivyo.

Nadiriki kusema kwamba katika tendo la ndoa kila mtu akili yake hushuka zaidi japo sina uhakika kama itafika sifuri kama ulivyosema wewe, metabolic rate ya mwili haifiki sifuri (inakua basal metabolic rate ili kukuwezesha kupumua na kusukuma damu ukiwa usingizini) hivo hivyo kwa akili haiwezi kua sifuri kwa kua wakati unasex utakumbuka kuongeza mwendo ili raha zikolee, nothing should be zero hata Computer ikizimwa lazima C-MOS battery ifanye kazi ili kuweka update vitu kama tarehe etc.

Mungu asingefanya poor design kama hiyo.

Kwa niaba ya wanaume wenzangu nasema sisi ni watu makini sana ndio maana kila jambo tunalifanya kwa wakati wake, ila adui akikuotea ndo hivyo tena
 
Back
Top Bottom