Durian fruit linaitwaje kwa kiswahili?

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,273
Hili tunda linaitwaje kwa Kiswahili? Je? Linapatikana Tanzania.

Kwa waliowahi kutumia hili tunda, lina ladha na harufu ya namna gani. Lina virutubisho gani au madhara gani?






1635392312282.png


images (34).jpeg


images (32).jpeg


images (33).jpeg


images (31).jpeg
 
Linapatikana Zanzibar, inasemekana lina harufu inayokera. Sijawahi kuona, wala kusikia harufu, Ila kuna mjadala nilisoma, wajuzi walieleza hivyo.
Sifahamu linaitwa aje kwa lugha ya Kiswahili.
 
Linaitwa DORIANI kwa Kiswahili (yana asili ya Mashariki ya mbali, tumetohoa mpaka jina )... Harufu yake inawachukiza watu wengi ila ladha yake ni ya utamu (Lina sukari), kwa hapa tz nimeyaona Zanzíbar. Kwa nje Lina miba yenye kuchoma (tofauti na fenesi, miba yake haichomi), hii inalifanya liwe hatari kupita chini ya mti wake wakati wa msimu wa MADORIANI.

Mdau juu kasema Moro yapo pia.
Ni hayo tu.

IMG_3890.JPG


Screenshot_2021-11-02-22-26-44-173_org.mozilla.firefox.jpg
 
Back
Top Bottom