Duplicator CD machine yenye milango 12

sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Offer !!! Offer !!! Offer !!! ya NANENANE......!!! Duplicator cd machine yenye milango 12 kwa ajili ya kuburn cd/dvd nyingi kwa wakati moja mzigo kutoka marekani umefika tanzania kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0753394886/0673635220 na mzigo utakufikia popote ulipo tanzania,wahi offer hii kabla haijakupita
stv_0971-jpg.367141
stv_0962-jpg.367138
stv_0965-jpg.367139
stv_0967-jpg.367140
stv_0971-jpg.367141
stv_0967-jpg.367140
stv_0967-jpg.367140
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Offer !!! Offer !!! Offer !!! ya Sabasaba......!!! Duplicator cd machine yenye milango 12 kwa ajili ya kuburn cd/dvd nyingi kwa wakati moja mzigo kutoka marekani umefika tanzania kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0753394886/0673635220 na mzigo utakufikia popote ulipo tanzania,wahi offer hii kabla haijakupita
stv_0971-jpg.367141
stv_0962-jpg.367138
stv_0965-jpg.367139
stv_0967-jpg.367140
stv_0971-jpg.367141
stv_0967-jpg.367140
stv_0967-jpg.367140

stv_0967-jpg.367140
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,281
Likes
597
Points
280
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,281 597 280
Duh, COSOTA wakikukuta na hii ..... ni shida aisee
 
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,814
Likes
564
Points
280
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,814 564 280
Hii mashine akikudaka nayo msama promotions au kosota, walaaaah, ...
Maproducer mashine hiyo chukueni
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Duh, COSOTA wakikukuta na hii ..... ni shida aisee
acheni mambo yenu kwani COSOTA wanazuia mashine au wanazuia watu wanaofanya kudurufu kazi za wasanii ambazo sio halali basi hata hizo simu mnazotumia mngesema TCRA wakikukuta nayo ni tatizo
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Offer !!! Offer !!! Offer !!! ya Sabasaba......!!! Duplicator cd machine yenye milango 12 kwa ajili ya kuburn cd/dvd nyingi kwa wakati moja mzigo kutoka marekani umefika tanzania kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0753394886/0673635220 na mzigo utakufikia popote ulipo tanzania,wahi offer hii kabla haijakupita
stv_0971-jpg.367141
stv_0962-jpg.367138
stv_0965-jpg.367139
stv_0967-jpg.367140
stv_0971-jpg.367141
stv_0967-jpg.367140
stv_0967-jpg.367140

stv_0967-jpg.367140
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Offer !!! Offer !!! Offer !!! ya Sabasaba......!!! Duplicator cd machine yenye milango 12 kwa ajili ya kuburn cd/dvd nyingi kwa wakati moja mzigo kutoka marekani umefika tanzania kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0753394886/0673635220 na mzigo utakufikia popote ulipo tanzania,wahi offer hii kabla haijakupita
stv_0971-jpg.367141
stv_0962-jpg.367138
stv_0965-jpg.367139
stv_0967-jpg.367140
stv_0971-jpg.367141
stv_0967-jpg.367140
stv_0967-jpg.367140

stv_0967-jpg.367140
 
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,356
Likes
3,081
Points
280
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,356 3,081 280
Hii mashine akikudaka nayo msama promotions au kosota, walaaaah, ...
Maproducer mashine hiyo chukueni
Jamani hiki ni kifaa tu. Kwani hii machine imetenegenezwa kurudufu kazi haramu pekee? Ukiwa na kazi zako kama za sendoff na harusi huwezi kurudufu?
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Jamani hiki ni kifaa tu. Kwani hii machine imetenegenezwa kurudufu kazi haramu pekee? Ukiwa na kazi zako kama za sendoff na harusi huwezi kurudufu?
Bora uwaambie ndugu,Tatizo watanzania wengi huwa wanafikiria vitu negative tu
 
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,356
Likes
3,081
Points
280
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,356 3,081 280
Bora uwaambie ndugu,Tatizo watanzania wengi huwa wanafikiria vitu negative tu
Nami nashangaa ndg. Pale Kariakoo mtaa wa Magila zipo kibao zinauzwa na nyingine zinatumika. Unadhani COSOTA ama Msama hawajaziona? Suala ni kwamba, zinatumika kufanya kazi gani? Halali ama Haramu?
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Nami nashangaa ndg. Pale Kariakoo mtaa wa Magila zipo kibao zinauzwa na nyingine zinatumika. Unadhani COSOTA ama Msama hawajaziona? Suala ni kwamba, zinatumika kufanya kazi gani? Halali ama Haramu?
yes hilo ndio suala la msingi sio kila mtu anafanya vitu haramu
 
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
6,028
Likes
6,042
Points
280
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
6,028 6,042 280
Kamuuzie "Nape" alikua anaiiulizia sana. Tena huwenda akapanda "dau" kwa kianzio hicho ulichobainisha.
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Kamuuzie "Nape" alikua anaiiulizia sana. Tena huwenda akapanda "dau" kwa kianzio hicho ulichobainisha.
Nape anahusika vipi hapa kama huna point ya kuzungumza ni vyema ukafunga bakuli lako
 
N

Ngahekapahi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Messages
549
Likes
154
Points
60
N

Ngahekapahi

JF-Expert Member
Joined May 8, 2012
549 154 60
Offer !!! Offer !!! Offer !!! ya Sabasaba......!!! Duplicator cd machine yenye milango 12 kwa ajili ya kuburn cd/dvd nyingi kwa wakati moja mzigo kutoka marekani umefika tanzania kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0753394886/0673635220 na mzigo utakufikia popote ulipo tanzania,wahi offer hii kabla haijakupita
stv_0971-jpg.367141
stv_0962-jpg.367138
stv_0965-jpg.367139
stv_0967-jpg.367140
stv_0971-jpg.367141
stv_0967-jpg.367140
stv_0967-jpg.367140

stv_0967-jpg.367140
Hii machine unajitegemea yenyewe, haina connection na CPU/Monitor ,maana sioni any port Kama VGA, USB, thunderbolt. Naona tu AC power outlet
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
9,790
Likes
11,615
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
9,790 11,615 280
Ulikuwa wapi siku zote? Mpaka mheshimiwa alivyoanza kuwakurupua ndio unajifanya kuuza ili umtoe mwenzio kafara, wadau shtukeniii!!!
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,065
Likes
3,207
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,065 3,207 280
Inaweza kuchoma DVD zote kumi na mbili kwa muda gani?
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,281
Likes
597
Points
280
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,281 597 280
acheni mambo yenu kwani COSOTA wanazuia mashine au wanazuia watu wanaofanya kudurufu kazi za wasanii ambazo sio halali basi hata hizo simu mnazotumia mngesema TCRA wakikukuta nayo ni tatizo

Hiyo sio kazi ya msama
ni vile tu unataka inunuliewe ila hujawahi kukutwa nayo na hawa watu. Ukweli ni kwamba kama ushaifanyia kazi ya kibiashara lazima unajua hii mambo. anyway mimi najua kuna mazingira hii kitu inafaa na kuna mazingira ni risk sana. Sio hii machine tu hata ukikutwa na printer .....
 
Forum statistics

Threads 1,235,268
Members 474,471
Posts 29,216,243