Duniani kwenye majengo marefu huwa hakuna Ghorofa namba 13, kwanini?

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
kama ipo nenda pale ppf towers then umwambie mlinz akupeleke floor ya 13.
<br />
<br />
Nafikili hiyo inasababishwa na imani kwanba namba 13 inahusishwa na mikosi. Kuna imani kwamba ikitokea ijumaa yoyote ya tarehe 13 siku hiyo ndiyo inakuwa balaa bubu kubwa! Mimi sikusoma english literavre lakini Baba aliwahi kuniambia kwamba kwenye maigizo ya Shakespeare kna msemo unaosema BEWARE....FRIDAY THE 13TH, hapo kwenye dot dot sikumbuki vizuri alichonambia Baba kama ilikuwa ni "the idea of" au nini, lakini waliosoma mambo ya maigizo kuhusu MaCBeth, MacDuff na Antony watakuwa wanambuka statement hiyo. Mimi nafikili namba 13 inahusishwa na msemo huo ambao ulihusishwa na utabili wa siku ya kuhuwawa MaCBeth lakini sina hakika..
 
Yaani jengo likshafikisha floor 14 na kuendelea, utake usitake lazima litakuwa na floor 13. Wewe ibatize majina tofaituti touafuti kulingana lugha na utashi wako lakini bado ni floor 13.
 
mbona ppf towers hyo ki2 ipo. Ktk lift zake hamna button ya kukupeleka namba 13.
Hiyo haimaanishi kwamba na sisi tuna ki-imani hicho. Isipokuwa aliyeagiza elevator ndio aliingia kichwa kichwa akaletewa zilizotengenezwa kwa matumizi ya nchi zenye imani hiyo ya kichawi-chawi.
 
Its true kaka,hata katka hotels guests,au any of those,kama wanatumia no katka vyumba basi u wont find rum 13..imani.
 
Umeambiwa wenye nyumba hawaweki G13 kwa kuwa wapangaji hawatachukua vyumba.
Hiyo haimaanishi kwamba na sisi tuna ki-imani hicho. Isipokuwa aliyeagiza elevator ndio aliingia kichwa kichwa akaletewa zilizotengenezwa kwa matumizi ya nchi zenye imani hiyo ya kichawi-chawi.
 
The levels of a multi-story building are numbered sequentially, from "one" or "ground" upwards. In some countries, the number 13 is considered unlucky and building owners will sometimes purposely omit the thirteenth floor. Even landlords who are not themselves superstitious realize that the rentability of suites on the 13th floor might be compromised because of superstitious tenants, or tenants who are afraid their own customers might be superstitious.

How it is done

Simply being skipped

Most commonly, it is skipped altogether. Although the thirteenth floor has been skipped in terms of numbering (i.e., for hotel/apartment/suite numbers), the floor numbered 14 is technically the thirteenth floor of the building; it is simply not numbered as such. Any calculations involving the height of a building based on the height of a floor should take this into account (particularly in reference to BASE jumping).

12A

Sometimes the floor is simply renumbered as 12a; this does not affect the numbers of the higher floors.

Special designations

Other buildings will often use names for certain floors to avoid giving a floor on the building the 13th floor designation. One such example is the Radisson Hotel in Winnipeg, Manitoba, where the 13th floor is called the Pool floor.

Not inhabited

Sometimes, the floor is put to some other use (see also conspiracy theories, below). For instance, the thirteenth floor of One Canada Square houses the air conditioning equipment and no rentable offices, though the owners insist that this is merely an architectural coincidence.

Variant

Similarly, new buildings in some parts of China omit the fourth, fourteenth, twenty-fourth, etc. floors, as the word "four" (Hanzi: ?) sounds like "death" (? - both are pronounced "sì" and "s?", respectively) in Mandarin, the predominant dialect for the country, and most other Chinese dialects. A small number of buildings also follow the Western tradition of omitting the thirteenth floor, with the fifteenth floor immediately following the twelfth.

Although the Hanja for four and death are read identically in Korean, buildings in South Korea tend not to omit the fourth floor. However, newer buildings tend to label the fourth floor with the letter F, instead of the number 4.

Conspiracy theory

Some conspiracy theorists have suggested that the thirteenth floor in government buildings is not really missing, but actually contains top-secret governmental departments, or more generally that it is proof of something sinister or clandestine going on. This implication is often carried over, implicitly or explicitly, into popular culture; for example, in the films The Thirteenth Floor, the hidden research and development labs of Network 23 in the television program 'Max Headroom', and the computer game Floor 13 by Virgin Interactive. In the sci-fi comedy Red Dwarf "floor 13" referred to a secret brig which was several decks high.

It should be noted that to place a floor between those accessible from an elevator, it is necessary to either take longer to travel between the neighboring floors, or accelerate, both of which would be noticed by the riders.
?

Nonsensical!
 
Nilipata sikia kwamba katika majengo marefu huwa hamna floor inayotambulika kama namba 13. Mwanzo ckuamini na nilianza fanya uchunguzi na nlipata notice hicho kitu pale nilipoenda ppf towers na nilipoingia ktk lift nikakuta button zote kuanzia ground to floor 17 zipo except #13. Nilijiuliza sana. Kwa wale architects na civil engineers mnaweza kutujuza kuna sababu yoyote ya kiufundi..? au what is behind this saga..?

Wakati Mzungu namba 13 inamtesa, huku kwetu Mkurya anateswa na namba 7..........................
Hebu waulize Wakurya juu ya namba 7, wanazo siimulizi zao zenye nadharia zilizojaa utata mtupu.....................! mie yangu macho.
 
Jaman leo nimekutana na topic ya gorofa kutokuwa na floor number 13, ndo nikakumbuka kuwa kweny simu nying kuna alama katika namba 5 mie natumia Nokia nadhan hata simu nyingne zina hii alama au kweny keybord ya computer kwenye namba 5 kuna alama hyo. Nilivo uliza weng wanahisi itakuwa kwaajil ya watu wasioona. Je kuna mtu anajua maana au matumizi? Na kama kweli za walemavu wa macho kuna mtu aliemwona mtu mlemavu akitumia simu vizuri kabisa?
 
M&#305;m&#305; n&#305;navyoelewa n&#305; kwa watu was&#305;oona.
 
Itabidi tumuullize aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa PPF wakati huo David Mataka atusaidie kwa hilo kama kweli hakuna ghorofa ya 13
 
Wakati Mzungu namba 13 inamtesa, huku kwetu Mkurya anateswa na namba 7..........................
Hebu waulize Wakurya juu ya namba 7, wanazo siimulizi zao zenye nadharia zilizojaa utata mtupu.....................! mie yangu macho.

namba 7 ina matatizo gan kwa wakurya..?
 
katika history ya england century ya 13 kulikuwa ugonjwa flani mbaya kinoma uliuwa zaidi ya robo tatu ya england thus y
 
Umeambiwa wenye nyumba hawaweki G13 kwa kuwa wapangaji hawatachukua vyumba.
Nimeambiwa na nani? Wenye nyumba za wapi? Jamaa kaongelea PPF Towers, maana yake tunaongela majengo ya Bongo! Hakuna hako ka imani katika taboos and social customs za Tanzania. Tuwe na context za kufahamu mipaka ya cultural settings kutoka sehemu moja hata nyingine, sio kutuletea vi-imani vya kichawi vya wazungu wa kale ulivyokutana navyo uhamishoni unadhani vina apply kila mahali.

Wenye nyumba? Nyumba za kupanga zenyewe Bongo issue, ukipata utachagua ghorofa? Halafu ni Wabongo wangapi wana option ya kuishi kwenye ma apartment yenye ghorofa 13 na kuendelea? Yapo majengo mangapi kama hayo? Again, tuwe na context!
 
Back
Top Bottom