Duniani kuna vituko..

Hao hupenda kusema tumia hela ikuzoee au hela ikutunze sio wewe uitunze, anataka apate raha ambayo wanawake huwa wanapata pindi wanapakwa rangi😄😄
Sikuwa najua kwani wanawake wanapataga raha?

Mana sijawahi kujaribu hiyo kitu kwani huku Nanjilinji hawapatikani hao vijana.
 
Yabidi mjizoweshe kukaa vikao vya mara kwa mara Mkuu ili tusiwapoteze. 😀😀😀
Hilo ni suala la msingi sana sema hata nyie mna kazi ya kufanya tunapokuwa tumewaweka ndani usikute mke wake hajatekeleza majukumu yake ndo maana kaamua kwenda kwa vijana wa kazi
 
Walio ooa tuu. Wasio oa wasubiri paka waoe. Wasio oa wajikate wenyewe
Hapo sawa jirani. Japo niseme kuoa sio mwanzo wa ulemavu. Sababu Mke anaweza kuwa busy na kazi, akirudi nyumbani yuko busy na familia hata asikumbuke kama Mume kucha zimekuwa kubwa.

Hivyo inapobidi wenye wake mujikate tu na sio kuogopa viwembe jirani. 😀😀
 
Dah! jamaa katulia kama mwanamke vile inaonekana ni mara kwa mara anashuhudia mke wake akifanyiwa hivyo kaamu na yeye ajionee mwenyewe
 
Hilo ni suala la msingi sana sema hata nyie mna kazi ya kufanya tunapokuwa tumewaweka ndani usikute mke wake hajatekeleza majukumu yake ndo maana kaamua kwenda kwa vijana wa kazi
Sasa Mkuu majukumu yote yakiwa ya mke unadhani kila jukumu litatekelezeka basi, zaidi madhara yake yatakuwa kama hayo sasa.

Nionavyo jambo dogo kama hilo mulifanye tu ikitokea nafasi imepatikana basi tutawakata tu.
 
Yani mtu anashindwa kukata kucha anasubir mke, mke mwenyewe shughuli lukuki.
Hapo sawa jirani. Japo niseme kuoa sio mwanzo wa ulemavu. Sababu Mke anaweza kuwa busy na kazi, akirudi nyumbani yuko busy na familia hata asikumbuke kama Mume kucha zimekuwa kubwa.

Hivyo inapobidi wenye wake mujikate tu na sio kuogopa viwembe jirani.
 
Yani mtu anashindwa kukata kucha anasubir mke, mke mwenyewe shughuli lukuki.
Eti jamani. Hatukatai kuwakata ila inapobidi wakate tu kwani kikawaida kama usemavyo Mama haishiwi shughuli hasa awapo nyumbani.

Japo kuna mmoja kasema eti tunakuwaga busy na Instagram.
 
Back
Top Bottom