Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,321
- 115,321
Sikuwa najua kwani wanawake wanapataga raha?Hao hupenda kusema tumia hela ikuzoee au hela ikutunze sio wewe uitunze, anataka apate raha ambayo wanawake huwa wanapata pindi wanapakwa rangi😄😄
Mana sijawahi kujaribu hiyo kitu kwani huku Nanjilinji hawapatikani hao vijana.