Duniani kuna vituko..

stardust JK

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,975
4,207
Hii ni zaidi ya futuhi dahhhh...
FB_IMG_15657020700347266.jpg
 
1.Huyu ni mwanume wa Dar
2.mke wake huwa yuko busy Instagram hana muda wa kumsafisha miguu na kumkata kucha.
3. kwenye meza ya pembeni kuna jamaa la mkoani limeingia Dar jana limebaki limehamaki linatamani likamkate jamaa makofi.
Hiyo namba mbili Mkuu kwani mwenyewe anashindwa nini sasa. Si akate tu kama mke yuko busy?

Au ndio ana pesa za mchezo.
 
Back
Top Bottom