Duniani kuna mengi mazuri, ila kufatilia stori Tamu nayo ni nzr sana, My Top 3 series of all time

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
2,720
3,456
1. Game Of Thrones
Seriously, mtu unaishi bila kuangalia game of thrones, i wish niifute akilin af niiangalie tena, tuzo yake ya best series in century ipo palepale

Hii ndo best series kwa yoyote alie iona, kikubwa ujue kiingereza na uwe na iq ya kawaida kwenda juu
Imetimiza vigezo vyangu vyote vya series nzr, kama common sence, story line pia na ancenstory
Ni series ukiangalia ni kama unaona maisha halisi

Kuna mabaya yake pia
-kuna sex scenes nying
IMG_2972.JPG

IMG_2968.JPG

IMG_2967.JPG

IMG_2971.JPG

2.Breaking Bad
Nilichoipendea ni story ya jins maisha au mazingira yanaweza kukubadili tabia, though story yake si nzr kama game of thrones but uigizaj na comoj sence ipo
IMG_2973.JPG
IMG_2969.JPG

3.Sherlock
Hii itakufungua akili, ila itawaboa wengi maana kufikilia ni kwingi na ila ukiielewa utapanuka sana akili
IMG_2974.JPG

IMG_2970.JPG
 
Breaking Bad ni nzuri ila huwa sometime inaboa sana especially season za mwanzo.. Kiujumla ni series kali tu.

G.O.T hii sijaanza kuiangalia ila nipo nayo kuanzia S1 hope sitajutia
Game of thrones ilinishinda baada ya vifo vya waigizaji niliowapenda
 
hyo got haina viumbe wa ajabu mara vyombo vya angani kama avatar!!?...maana tangu 24 na prison break naona mauzauza tu,dzain hollyeood wameishiwa
 
Breaking Bad ni nzuri ila huwa sometime inaboa sana especially season za mwanzo.. Kiujumla ni series kali tu.

G.O.T hii sijaanza kuiangalia ila nipo nayo kuanzia S1 hope sitajutia

GOT utaipenda, sema ukiwa ni mtu wa kusikiliza stor utaipenda zaid
 
hyo got haina viumbe wa ajabu mara vyombo vya angani kama avatar!!?...maana tangu 24 na prison break naona mauzauza tu,dzain hollyeood wameishiwa
Kweli kabisa mkuu mimi pia sipendi kabisa movie zenye mavitu vitu yasiyeeleweka. Hiyo got inaonekana ina mambo ya dizain hiyo ya kutosha
 
1.Mentalist
2.PLL-pretty little liars.
3.__________

Hiyo ya kwanza nilikua nayo complete, nimetumia mwaka mzima kila nikianza kuangalia kwa lengo la kuipenda nashindwa. Nimeishia 102 tu, ziliniboa case zao ni rahisi rahisi sana halafu yule Psych anaboa kujua kila kitu. Kilichokua kinanifanya nijipe moyo wa kuipenda ni kumjua Red John lakini nimeshindwa kabisa kuiangalia ikabidi niifute
 
Kweli kabisa mkuu mimi pia sipendi kabisa movie zenye mavitu vitu yasiyeeleweka. Hiyo got inaonekana ina mambo ya dizain hiyo ya kutosha

Ni dragons tu na yana historia yake, sio kila mda yanatokea
 
My favorite series za zamani na sasa, kama wewe ni mpenzi wa series za umafia, ujasusi na upelelezi, hii list itakufaa sana.
24Hrs
Breaking Bad
Prison Break
Banshee
Money Heist
Condor
Hanna
Fargo
Bodyguard
Making A Murderer
Designated Survivor
Ozark
The Wire
Manifest
Motive
American Crime
The Enemy WIthin
 
Hahhhahhhahhaa..nakusoma sana. Mwenyewe red John ndo aliniweka sana sana,ila pamoja na hivyo i had special love for the series yani..
The characters were lit..(the detectives).
For me naona cases hazikua rahis...i enjoyed the plot twists

Back
Top Bottom