Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Tusijione Tanzania tuko makini saana hususani huu utaratibu wa Chama tawala "CCM' kutumia Jeshi la Polisi katika kuwatishia Wananchi haswa wale wanaonekana kuwa kinyume na Mawazo ya Serikali.
Kwa upande wa Dini angalau hatuko vibaya na hii ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu, ila hili la Wanasiasa, ninakuhakikishia Mh.Rais hakuna Jeshi lolote duniani lenye nguvu linaloweza kuzuia nguvu ya Raia waliyofikia kiwango cha uvumilivu sufuri.
Haya mambo ya Kukamata Wapinzani na kuwatia ndani, na hali wa upande wa pili mpaka wanaua wapinzani wala hakuna hatua stahiki zinazochukuliwa na vyombo vya dola zaid ya kuegemea watala hakika Taifa litaishia pabaya.
Kinachotakiwa Polisi ni kufanya kazi ya Upolisi na si kufanya siasa. Huku kujipendekeza kwa Watawala mtaliangiza Taifa.
Waache Wananchi watoe maoni yao, anasemwa hadi Mungu Muumba ya vyote Sembuse Rais mwanadamu mwenye mwili na nyama. Zaidi ya yote maneno hayaui wala kukupunguzia afya.