Dunia Yetu Imejaa Watu Waongo!

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
wanasiasa waongo,
madaktari waongo, wa kichwa anapasuliwa mguu na wa mguu anapasuliwa kichwa.
Wachina , Wamerekani na Warusi wote waongo,
Wanaume waongo ,
wanawake waongo,
Mashehe waongo,
Wainjilisti na Wachungaji waongo,
Waumini waongo,
Manabii waongo,
Mwajiri muongo, na waajiriwa wake waongo.
Mwalimu muongo na wanafunzi wake waongo.
Kila kitu ni uongo na kila mtu muongo.
Kwanini jamani????
l hate this tabia wajameni.
 
Dah,
kweli dunia hii imejaa watu waongo.
Unakutana namwanamke anakwambia eti wewe ni bwana wangu wa pili.
Teh tehe tehe teheeeee.
Huwa nacheka sana.
 
Tatizo ni kuwa kila mtu ANAUPENDA uongo.akiambiwa ukweli haamini mpaka adanganywe.na ndio maana uongo hautakuja kuisha kamwe.
Kizazi kibaya hiki cha nyoka,kimejaa hila na unafiki na uongo.
 
Halafu ukiongea ukweli unachukiwa...
Wanasema ukweli unauma.
Watu kweli hawataki maumivu n dio maana wanakumbatiana na pepo la uwongo.
 
Bwana ehh,
uwongo uko kila idara.
Mwajiri anakudanganya wewe,
na wewe unamdanganya mfanyakazi wako,
naye anadanganya,
yaani vurugu mechi
 
eti Muongo? muongo si ni DECADE?(period of ten years) au ni Mwongo, teh teh teh!
 
wanasiasa waongo,
madaktari waongo, wa kichwa anapasuliwa mguu na wa mguu anapasuliwa kichwa.
Wachina , Wamerekani na Warusi wote waongo,
Wanaume waongo ,
wanawake waongo,
Mashehe waongo,
Wainjilisti na Wachungaji waongo,
Waumini waongo,
Manabii waongo,
Mwajiri muongo, na waajiriwa wake waongo.
Mwalimu muongo na wanafunzi wake waongo.
Kila kitu ni uongo na kila mtu muongo.
Kwanini jamani????
l hate this tabia wajameni.

Hilo la Manabii kuwa ni waongo, linahitaji ufafanuzi nadhani.....
 
Back
Top Bottom