Dunia Yetu Imejaa Watu Waongo!

Hilo la Manabii kuwa ni waongo, linahitaji ufafanuzi nadhani.....
Kama ni kwa manabii hawa wanaojiita hivi sasa nakubaliana nae kabisa ila wale wa kwenye maandiko matakatifu (Biblia)..Isaya..Elia kwa imani yangu ni manabii kweli hakukuwa na uwongo kwenye kauli na maono yao
 
hilo la manabii kuwa ni waongo, linahitaji ufafanuzi nadhani.....
kwa matendo yao mtawatambua.
Hebu mchukue mtu kama Kakobe halafu mlinganishe na Mwakasege...
Wewe mwenyewe utajua muongo ni yupi na mkweli ni yupi.
 
Back
Top Bottom