guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
acha wanyooshwe,ndiyo unafiki utawatoka.Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.