Dunia ya ujasusi: Je, safari ya Zelenskiy Marekani ina siri gani?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,182
11,199
Igweeeeeee kumekucha kumekucha... Ulimwengu wa kijasusi unazidi kushika kasi kama mithili ya radi.

Safari ya Rais wa Ukraine ni safari ya kijasusi pia ni safari yenye ujumbe mzito kwa Putin na Washirika wake kuwa Marekani wako tayari kwa vita mpaka tone la mwisho wa dam wakati Putin hatokuwepo "Putin In" code ya kijasusi ktk mission Hilo neno amelirudia mara mbili Rais wa Ukraine Zelenckiy kwenye hotuba yake kwa Congress hapo jana.

Putin amedhamiria kuiangamiza Ukraine ila Ukraine wao wamekuwa na mkakati mzito wakijasusi kumlemaza Putin kwa ku estimate hasara ameipa Taifa lake na wao kuhit back ila unknown. Nampaka sasa yapo mashambukiz Russian wameshindwa thibitisha Ukraine anahusika.

Mkakati mzito ulioenda jadiliwa USA ni under cover ni pigo la mwisho kwa Putin alie Kwisha dhoofu yeye mwenyewe Putin anajuwa kabisa wakati anaipiga Ukraine mataifa jirani hawajalala usiku na mchana EUR hawalali wanajianda kwa vita wakati wowote jambo lina mfanya Urusi kutokuwa salama movement zote na mienendo yote ya majeshi ya Urusi vina fuwatiliwa kwa ukatibu sana.

Taarifa za kijasusi ambazo Marekani amezipata ameamua kuzijadili na Ukraine ktk vyumba vya siri ili Ukraine isishangae pindi kazi ita anza vikosi maalumu vya kijeshi vya Dunia vinakazi moja tu.

Itaendelea
 
warusi wa buza na kibera mshaanza tena.we unazani mpaka leo urusi anashindwa sababu ni nini
 
Ukraine na Tanzania hazina tofauti, zote ni ombaomba. Tanzania tunaomba hadi chakula na maji, wakati wenzetu licha ya kuwepo vitani lakini wanajitosheleza kwa chakula, wao wanaomba silaha na zana za kivita
 
Majeshi yanajiandaa kuingia RF?
Siku NATO wakijaribu kuingiza jeshi kwa uwazi katika Ukraine bila shaka itakua moja ya siku mbaya Sana kwa ulimwengu. Si Russia Wala Eu, Wala US watabaki salama wote wataangamia. Hiyo siku haitafika. Naombea kwa mola.
Na Kama itatokea ninaomba kwa mungu sisi bongo ndo tuwe superpower. Tujijenge kila mahali.
 
Hamfanyagi maombi ya maji? Mara mwende kutambika. Kwanini hamtengenezi reserve za maji? Ukame ukitokea tumieni maji mliyoyahifadhi. CCM ni chama mfu, chama kilichokosa maono (vision) hivyo basi hakina dira, ndio maana tunapiga Mark time tu
Ni kweli mkuu, tatizo watanzania tulio wengi tunaishi kwa kuwategemea hawa viongozi kwenye kilakitu. Mambo mengine inabidi tujiongeze wenyewe. CCm sio yakutegemea kabisa.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom