Dunia ya haijalishi upo umbali gani;Watakupata tu!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Dunia hadaa na Malimwengu Shujaa!

Nawaasa vijana,Mpatapo nafasi au Ajira huko kwingineko msipende kujisahau na ghafla mnaanza kutumiwa na maharamia na yasiyo itakia mema nchi.

Wengi wenu mmekuwa mkitumia kwa kuisema kwa mabaya pekee nchi huko ughaibuni huku mkisahau ipo siku utarejeshwa kuzikwa hapa hapa upasemapo kwa ubaya!

Dunia ya leo iliyojaa kila aina ya ujasusi wa Kisiasa na kadharika,endapo uendapo kinyume na maadili ya lazima wadau wakushughulikie tu!

Wapi Kashoggi?!!

R.I.P. Munyejwa wa GAMBA!
 
mh!! so mtu akiisema vibaya serikali ananyiziwa huko huko aliko??

umeunganisha kifo cha ghafra cha mtangazaji, unatwambia nn?? kauwawa kwa kuisema vibaya himaya hii au kuna mwingine??

andishi lako lina code nyingi sana za kufungua.
 
Wewe wasema.
 
Wao wanaowapata wenzao wataishi milele?

Yuko wapi Samwel Doe
Yuko wapi Iddi Amin Dadaa
Yuko wapi Bokassa
Yuko wapi Saddaam
Yuko wapi Mao Ze Dong
Yuko wapi Stalin
Yuko wapi Hitler
Yuko wapi Mobutu Seseko Kuku Ngebedu wa Zebanga
Yuko wapi Cesescu
Yuko wapi Charles Taylor
Yuko wapi Kaburu Botha

Ni ujinga tu kwa watu ambao pengine hawana miaka 30 ya kuishi mbele yao kufanya mambo utadhani wataishi milele. MUNGU YUPO KAZINI na NDIYE ANAYEMILIKI WAKTI
 
Cha kujiuliza kwann isemwe kwa mabaya,je maamuzi kuhusu wengi wanashirikishwa?
Dunia hadaa na Malimwengu Shujaa!

Nawaasa vijana,Mpatapo nafasi au Ajira huko kwingineko msipende kujisahau na ghafla mnaanza kutumiwa na maharamia na yasiyo itakia mema nchi.

Wengi wenu mmekuwa mkitumia kwa kuisema kwa mabaya pekee nchi huko ughaibuni huku mkisahau ipo siku utarejeshwa kuzikwa hapa hapa upasemapo kwa ubaya!

Dunia ya leo iliyojaa kila aina ya ujasusi wa Kisiasa na kadharika,endapo uendapo kinyume na maadili ya lazima wadau wakushughulikie tu!

Wapi Kashoggi?!!

R.I.P. Munyejwa wa GAMBA!
 
Wao wanaowapata wenzao wataishi milele?

Yuko wapi Samwel Doe
Yuko wapi Iddi Amin Dadaa
Yuko wapi Bokassa
Yuko wapi Saddaam
Yuko wapi Mao Ze Dong
Yuko wapi Stalin
Yuko wapi Hitler
Yuko wapi Mobutu Seseko Kuku Ngebedu wa Zebanga
Yuko wapi Cesescu
Yuko wapi Charles Taylor
Yuko wapi Kaburu Botha

Ni ujinga tu kwa watu ambao pengine hawana miaka 30 ya kuishi mbele yao kufanya mambo utadhani wataishi milele. MUNGU YUPO KAZINI na NDIYE ANAYEMILIKI WAKTI
Itaendelea kuwa hivyo katika hayo!Kuwa Mzalendo.
 
Kwamba kifo cha marehemu kinauhusiano na wazee wa kazi?
 
Sio kwa Tz .mambi kimange mpaka leo bado ana watoa kamasi

labda muombe msaada MOSSAD .C.I.A
 
Saudi Arabia ni taifa lenye viongozi wapumbavu na wajinga. Wanadhubutu kumteka mtu na kumchinja kama mbuzi akiwa ndani ya ubalozi na ma-cctv kibao wanafikiri dunia imejaa wapumbavu kama wao!!! (Trump atawabeba lakini atachoka tu).
Na lililo la AJABU,Kashoggi KATANGULIA na hao wajinga uwasemao wapo na Gahawa wanywa!
 
When you compare only the timing of death, it may not make difference whether you live hundred years or thirty. Jesus mission was at His thirtieth, and crucified, while many others in similar generation lived to their nineties and also died. But the question remains, who do you think was better?
 
Wao wanaowapata wenzao wataishi milele?

Yuko wapi Samwel Doe
Yuko wapi Iddi Amin Dadaa
Yuko wapi Bokassa
Yuko wapi Saddaam
Yuko wapi Mao Ze Dong
Yuko wapi Stalin
Yuko wapi Hitler
Yuko wapi Mobutu Seseko Kuku Ngebedu wa Zebanga
Yuko wapi Cesescu
Yuko wapi Charles Taylor
Yuko wapi Kaburu Botha

Ni ujinga tu kwa watu ambao pengine hawana miaka 30 ya kuishi mbele yao kufanya mambo utadhani wataishi milele. MUNGU YUPO KAZINI na NDIYE ANAYEMILIKI WAKTI
Asante na mimi nilitaka kumjibu the same mleta mada anaangalia upande mmoja tu.
 
Dunia hadaa na Malimwengu Shujaa!

Nawaasa vijana,Mpatapo nafasi au Ajira huko kwingineko msipende kujisahau na ghafla mnaanza kutumiwa na maharamia na yasiyo itakia mema nchi.

Wengi wenu mmekuwa mkitumia kwa kuisema kwa mabaya pekee nchi huko ughaibuni huku mkisahau ipo siku utarejeshwa kuzikwa hapa hapa upasemapo kwa ubaya!

Dunia ya leo iliyojaa kila aina ya ujasusi wa Kisiasa na kadharika,endapo uendapo kinyume na maadili ya lazima wadau wakushughulikie tu!

Wapi Kashoggi?!!

R.I.P. Munyejwa wa GAMBA!
Kwa hiyo Gamba naye kumbe Wali m kashogi? Nani hao? Wale watu wa kwao wasiofahamika? Umetupa taarifa ya muhimu sana! Ngoja tufuatilie!
 
Dunia hadaa na Malimwengu Shujaa!

Nawaasa vijana,Mpatapo nafasi au Ajira huko kwingineko msipende kujisahau na ghafla mnaanza kutumiwa na maharamia na yasiyo itakia mema nchi.

Wengi wenu mmekuwa mkitumia kwa kuisema kwa mabaya pekee nchi huko ughaibuni huku mkisahau ipo siku utarejeshwa kuzikwa hapa hapa upasemapo kwa ubaya!

Dunia ya leo iliyojaa kila aina ya ujasusi wa Kisiasa na kadharika,endapo uendapo kinyume na maadili ya lazima wadau wakushughulikie tu!

Wapi Kashoggi?!!

R.I.P. Munyejwa wa GAMBA!
You are so daft,so what? we can't entertain tyranny administration!
 
Wao wanaowapata wenzao wataishi milele?

Yuko wapi Samwel Doe
Yuko wapi Iddi Amin Dadaa
Yuko wapi Bokassa
Yuko wapi Saddaam
Yuko wapi Mao Ze Dong
Yuko wapi Stalin
Yuko wapi Hitler
Yuko wapi Mobutu Seseko Kuku Ngebedu wa Zebanga
Yuko wapi Cesescu
Yuko wapi Charles Taylor
Yuko wapi Kaburu Botha

Ni ujinga tu kwa watu ambao pengine hawana miaka 30 ya kuishi mbele yao kufanya mambo utadhani wataishi milele. MUNGU YUPO KAZINI na NDIYE ANAYEMILIKI WAKTI
Thanks a lot brother, you've made my day, ipo siku Mungu atalipa kisasi huku kila mtu akiona,binafsi nimetendwa maovu na watu waliniharibia maisha hadi nikapoteza mtoto,lakini kwa Sababu nina hofu ya Mungu niliapa sitalipa kisasi, nilimwachia Mungu.
Leo hii huyu jamaa kila anayetofautiana naye kwa namba yoyote ile anaamuru auawe,unadhani Mungu hatajibu?Mungu hawahi wala hachelewi .
 
Sio kwa Tz .mambi kimange mpaka leo bado ana watoa kamasi

labda muombe msaada MOSSAD .C.I.A
Mkuu Mossad hawawezi kugombana na US kwa Sababu ya kuwafurahisha wauaji hatari wa CCM.
wala CIA haiwezi kumdhuru Mange eti kwa Sababu ya ujinga wa CCM.
US ni Taifa linaloheshimu Uhuru wa maoni wa raia wake,na ole wao TISS siku wakijichanganya kwenda US kumdhuru Mange, huo ndo utakuwa mwisho wa CCM.
 
Back
Top Bottom