Dunia ya dijitali bado viongozi wetu wanategemea Sangoma?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
93,061
2,000
Inashangaza sana ukimsikiliza kiongozi akikuhimiza kuwa tumejenga vituo vya afya, Hospital za kanda, na kuongeza upatikanaji wa madawa umeongezeka.

Leo hii unamkuta kiongozi anasahau maneno yake na kukimbilia kwa sangoma, utamuelewaje? Hongera sana viongozi wetu.

Mtazame kiongozi wetu huyo hapo chini akifanya yake.

Screenshot_20200702-074020.jpeg
 

The weekend

Senior Member
May 3, 2020
189
500
That's is what is knowns as AFRICAN CHEMISTRY and it is a real damned shit, hao wahindi na wachina mnaowaona WAnaapiga Sana hzo mambo, africans have been blinded by European culture, christianity is a part and parcel of it, african religion is real, sacrifices even Abraham duet, mnaenda milimani mnatambika then mkishuka mvua zinanyesha, hata wazungu wanaroga kuondoa mikosi ila si kuroga mzungu mwenzake, umejaribu kujiuliza kwa nn bei ya bata mzinga(Turk) na samaki aina ya Salmon hipo juu kipindi cha high season? ni kwa sababu wazungu wanaamini kwamba ukila nyama ya bata mzinga au samaki aina ya Salmon mwisho wa mwaka au nusu mwaka basi utakua umeondoa mikosi yote ya kipindi kilichopita.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom