Dunia tambara bovu, sugar daddy wa enzi za chuo anapokua baba mkwe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13 pro.

Hapa duniani kuna wazee wana pesa hawajui la kuifanyia. Kumtimizia binti yote haya ni madogo kwake. Mzee ana miaka 60, tena huko Dubai analipa tu gharama lakini hawezi kusafiri na binti.

Matatizo yanakuja pale binti amemaliza chuo na kukutana na mchumba wa umri wake. Anakuja kukutana na wakwe na kugundua baba mkwe ndiye alikua sponsor chuoni.

Wababa wengine ni mafia, wanataka waendelee kula na kijana wake.
 
Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13 pro.
Mabinti wa miaka ya leo hawana adabu, tusubiri miaka 10 ijayo kijana anaweza kuchumbia binti ambaye ameshazalishwa na baba yake mzazi
 
Sugar daddy wengi ni wagawaji wazuri wa $, ila hawanaga nguvu za kuwakuna mabinti 😄
 
Hawa wazee wa kileo waliopata Master’s zao John Hopkins na Kings College, wana trade mills nyumbani iwe mvua iwe jua ni lazima afanye mazoezi.

Breakfast matango na mapapai, lunch anapiga grilled sirlon steak na steamed carrots na broccoli.

Miaka 70 hana diabetic wala cardiology issues.
 
Hawa wazee wa kileo waliopata Master’s zao John Hopkins na Kings College, wana trade mill nyumbani iwe mvua iwe jua ni lazima afanye mazoezi.

Breakfast matango na mapapai, lunch anapiga grilled sirlon steak na steamed carrots na broccoli.

Miaka 70 hana diabetic wala cardiology issues.
Retired president Deus Mkozumi alikuwa mdau mkubwa wa hayo makitu, ila alikuwa na uwezo mdogo wa kukuna, maana alitolewa jasho na Peniela 😍

Usiwatetee hawa sugar daddy ni wavivu wa kukuna yaani wao dk 2 tu hoi wanaanza kukoroma kama vyura wa jangwani 😄
 
Binti akishika mic na kuimba vizuri kesho account yake inasoma new balance.
 
Hawa wazee wa kileo waliopata Master’s zao John Hopkins na Kings College, wana trade mills nyumbani iwe mvua iwe jua ni lazima afanye mazoezi.

Breakfast matango na mapapai, lunch anapiga grilled sirlon steak na steamed carrots na broccoli.

Miaka 70 hana diabetic wala cardiology issues.
Wanajitambua mkuu.
Anakuwa 70 lkn anapeleka Moto kama kawa!
 
Retired president Deus Mkozumi alikuwa mdau mkubwa wa hayo makitu, ila alikuwa na uwezo mdogo wa kukuna, maana alitolewa jasho na Peniela

Usiwatetee hawa sugar daddy ni wavivu wa kukuna yaani wao dk 2 tu hoi wanaanza kukoroma kama vyura wa jangwani

IST akupe, na kukukuna akukune?? Hapana

Anakojoa cha afya chaap anaenda kutengeneza pesa..
 
Back
Top Bottom