Dunia simama nishuke

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
1082312
 
Daaahhhh we acha tu, mwisho wa siku ni kupanga foleni kusubiria upako wakati upako wao ndio wanauchomoa katika kipindi hiki cha kula bata.
Hii issue tunaweza kuiangalia kwa upana, mara nyingi kwenye society ambako ngono haifanywi kama kitega uchumi wasichana wanapata mimba kwa u naive. Matokeo yake ni teenage pregnancy.
 
Hii issue tunaweza kuiangalia kwa upana, mara nyingi kwenye shule society ambako ngono haifanywi kama wasichana wanapata mimba kwa u naive. Matokeo yake ni teenage pregnancy.
Sasa hivi hakuna cha teenage pregnancy wala nini, Mabinti wengi wanaopata mimba na kuzichomoa ni kuanzia miaka 18 na kuendelea, unamkuta binti mpk anafikisha miaka 25 tyr ameshafanya abortion zaidi 3
 
Sasa hivi hakuna cha teenage pregnancy wala nini, Mabinti wengi wanaopata mimba na kuzichomoa ni kuanzia miaka 18 na kuendelea, unamkuta binti mpk anafikisha miaka 25 tyr ameshafanya abortion zaidi 3
Hii inamaana kama jamii tume fail kwenye sex education
1. Kuelemisha umuhimu wa kutunza miili yao

2. Kushauri contraceptives
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom