Dunia nzima tunatazama Obama akiongea UN live,je tutamwona na kikwete akiongea?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nyie watu wa ikulu tunaombeni taarifa kama watamwonyesha Kkiwete akitoa hotuba Un,asanteni!
 
Mkuu kwa nini mbali huko ...hapa kwetu kwani ni vipi//?
The embedd code is not in BB but rather HTML, which is not allowed here, as far as I know. Isingekuwa hivyo tungeweza kuweka hiyo webcast ya UNGA hapa bila matatizo, kama vile tunavyofanya videos za Youtube!
 
Kuna wakati tulisikia na kusoma kuwa wtanzania waishio Marekani walipanga kumpokea kwa mabongo lakini msemaji wake alisema kuwa hana safari ya kwenda Marekani, cha kusangaza tayari ni muda mfupi msemaji huy alipokanusha amekwisha kwenda huko. Kwa njia yoyote wasingonesha. Ili kuendelea kuficha hicho kitu hawawezi kuonesha hata kidogo.Tukumbuke yote kuwa uongo wakati wote utaonekana.
 
Back
Top Bottom