Swali lile lile unajibiwa una uliza Tena swali Hilo Hilo. Vipi mjomba?Unajuaje Mungu yupo kweli na hiyo habari nzima ya kuwapo Mungu si hadithi ya uongo tu?
Hujajibu swali hili.
Prove huyo Mungu wako yupo kweli kwa njia yoyote unayojua wewe, tuelezee hapa tuihakiki, maana ku prove kwa misingi niliyokupa umejaribu umeshindwa.
Unajuaje Mungu yupo kweli na hiyo habari nzima ya kuwapo Mungu si hadithi ya uongo tu?
Hujajibu swali hili.
Prove huyo Mungu wako yupo kweli kwa njia yoyote unayojua wewe, tuelezee hapa tuihakiki, maana ku prove kwa misingi niliyokupa umejaribu umeshindwa.
Unaelewa "logical non sequitur" ni nini?Ukiweza kueleza namna ya kukithibitishia kinyago kuhusu uwepo wa MTU Alie kichonga itakuwa rahisi kwako kuthibitishiwa kuhusu uwepo wa Mungu Alie kuumba