Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,942
- 6,183
Unajitutumua mkuu,ila ukweli unaujua.Afrika haiwezi kuendelea kwa mfumo uliopo wa nchi za Afrika. China ndio wanaweza kufikia maendeleo ya wazungu kwa sababu wameamua iwe hivyo.Afrika tuna zuga zuga tu.Emu nipe mfano mmoja wa kitu tuna choweza kuwazidi wazungu au tulichowazidi wazungu.Yeah as always muafrika ni kawaida yake kujishusha mbele ya mweupe.
Lakini sio mwafrika mimi.
Afrika inaweza kuwa na maendeleo au zaidi yao.