Dunia ingeamua kuwasaidia walemavu, watu hawa wasingekuwa na shida

We eleza yoooteee ila kuna mbunge kasema milioni kumi na mbili hazimtoshi(12,000,000/=).He needs all the world!The world is not enough for him!😂😂😂
 
Hiv ushawai jiukiza sku1 hawa walemavu tunaowapita barabarani kila siku wanaish maisha gani..?kula, kunywa ,mavazi,afya nakadhalika

Unakuta mtu barabaran anaomba..hama mikono.miguu..anaendeshwa kwenye wheelchair...

Wapo walemavu wa aina nying..ila kuna wale extreme yan....hiv kweli serilal...well ngoja nitupe lawama kwa serikal maana sote tunachanga pesa znaingia huko

Hiv kwel serikal inashindwa kusanya hawa walemavu ambao ni extreme yaan hawajiwez kabisa wale...wawajengee nyumba waish huko...kama kuna pesa za tasaf tena zingne zinapigwa...hiv hawa watu ukihesab idad yao..sidhan kama wanafika lak1 nchi nzima..hiv serikal kwel imashindwa weka fungu fulan kwa ajili ya kuwahudumia hawa watu....

Hiv kwel..mbona mapesa meng sana yanapigwa jaman

Okay..tuachane na serikal...hiv mbona watu tunafanya masherehe makubwa.tunachanga mapesa tunafanya kufuru...kidimbwi nin na nin...hiv ushawai waza kilema asie na mikono miguu hana ndugu anaishije

Kijana tu mzima mwenye afya yake anamaliza chuo hana ajira ana haha mpaka wengne wanajiua yaan anakosa had pesa ya kula..imagine hawa jamaa walemavu wanaishije....

Dah..naamin kama dunia tungeamua kuwahudumia hawa na kwel kama tungekua na iman hiz tulizonazo tunazonafkiana nazo..makanisan miskitin etc....hawa watu wasingeish kwa shida

Wanadam tuna roho mbaya sanaaaaaa

Uzi tayar.
Mbona Kuna kambi zipo za wazee, (masikini) huku Moro kunahitwa fungagunga, Kuna kipindi walikuwa wanawafukuza vijana wanaokaa pale wawapishe wazee, na walemavu.
Na mtu yoyote akitaka kwenda kuwatembelea ruksa, zamani tulikuwa tunaendaga na kanisa fulani kupeleka misaada.
 
Hiv ushawai jiukiza sku1 hawa walemavu tunaowapita barabarani kila siku wanaish maisha gani? Kula, kunywa, mavazi, afya nakadhalika.

Unakuta mtu barabaran anaomba hana mikono, miguu; anaendeshwa kwenye wheelchair.

Wapo walemavu wa aina nying..ila kuna wale extreme yani. Hiv kweli serikali, well ngoja nitupe lawama kwa serikal maana sote tunachanga pesa zinaingia huko.

Hiv kwel serikal inashindwa kusanya hawa walemavu ambao ni extreme yaan hawajiwez kabisa wale. Wawajengee nyumba waish huko. Kama kuna pesa za tasaf tena zingne zinapigwa. Hivi hawa watu ukihesab idad yao. Sidhan kama wanafika lak1 nchi nzima. Hivi serikal kwel imashindwa weka fungu fulan kwa ajili ya kuwahudumia hawa watu.

Hivi kweli, mbona mapesa meng sana yanapigwa jamani.

Okay, tuachane na serikali. Hivi mbona watu tunafanya masherehe makubwa tunachanga mapesa tunafanya kufuru Kidimbwi nin na nin. Hiiv ushawai waza kilema asie na mikono miguu hana ndugu anaishije

Kijana tu mzima mwenye afya yake anamaliza chuo hana ajira ana haha mpaka wengne wanajiua yaan anakosa had pesa ya kula. Imagine hawa jamaa walemavu wanaishije.

Dah! Naamin kama dunia tungeamua kuwahudumia hawa na kwel kama tungekua na iman hiz tulizonazo tunazonafkiana nazo, makanisan miskitin etc awa watu wasingeish kwa shida

Wanadam tuna roho mbaya sanaaaaaa

Uzi tayar.
Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
 
Acha wapambane na hali zao, usihurumie kiumbe usichokizaa, ulishawahi kujiuliza kwanini binadamu wanawachinja wanyama na kuwala wakati ni viumbe wenzao, au ulishawahi kujiuliza viumbe vingine vina mawazo gani juu yako.

Namaanisha kila mtu anajua namna ya kuishi kulingana na alivyo! wewe u mzima lakini pia na wao ni wazima japo unawaona kama walemavu. (Sidhani kama umenielewa)

mfano; Mwehu akikuona wewe atadhani wewe ndiye mwehu, pia wewe ukimuona mwehu huyohuyo utamchukulia kama mwehu. Pengine wewe ndio mwehu kwa wehu wengine ( Nazungumzia difference)

walemavu pia wana uwezo wa kufanya vitu na kujipatia kipato na kuwa matajiri wakubwa mfano; mabondia, wafanyakazi wa serikali na ajira mbalimbali zinazowahusu, usifikirie kuwachukua, kuwatenga na kuwahudumia, ni makosa ( all human beings are equal) .
Wachache mtanielewa.
Kiongozi unaonekana una roho mbaya kinoma yaani, nyie ndio mtoa post anawaongelea mpo radhi mtoe michango mikubwa ya harusi ukimwacha jirani yako akifa kwa njaa. Hakika sisi binadamu tumetofautiana mioyo.
 
Back
Top Bottom