Dunia inazidi kukimbia, soma hii kuhusu kuku wa mahabara-BBC

Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi

Wajinga sana vijana wa leo

Bazazi
Ni tabu kweli kweli
 
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi

Wajinga sana vijana wa leo

Bazazi
"Wanachoandika wanajua wenyewe" hahahahaha. Ahsante kwa elimu uliyotumegea.
 
Hapo wanaumme wanaopenda kula KFC chamoto watakiona, badala ya kutia kimoja per day itakuwa ni kimoja kwa mwezi.
 
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi

Wajinga sana vijana wa leo

Bazazi
Kinachosikitisha zaidi hawaishii tu kwenye social media ila wamo mpaka kwenye vyombo vya habari vinavyoheshimika kabisa yaani TV..... Swali najiuliza wanapataje ajira? Kimsingi makosa ya kuweka h pasipostahili sio typing error kabisa INA maana vyombo hivi vya habari vinaajiri MTU wa kutyipe maandishi yanayopita kwenye screen asiejua na hawana hata manager au senior mwingine yeyote wa kuyaona haya? Kwangu Mimi hata msomaji wa taarifa ya habari anaesoma kilichoandikwa hovyo huwa namdharau maana angekuwa makini angeona na kurekebisha kabla ya kwenda hewani.
 
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi

Wajinga sana vijana wa leo

Bazazi
Madhara = mazara
maradhi =marazi
Thubutu = dhubutu
 
Nikiwa nachat na mtoto wa kike ambaye nina nia yakumtongoza halafu akawa anafanya makosa ya kiuandishi kama hayo aliyoyafanya mleta mada,huwa situmii akili nyingi kumshawishi,mara nyingi elimu zao ni za chini na hawana maono ya mbele,hivyo upanguaji hoja zangu hushindwa.
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi

Wajinga sana vijana wa leo

Bazazi
 
Kuna siku mwalimu aliandika ubaoni maswali kumi ya hesabu na kila swali alikuwa akiweka jibu lake!
Isipokuwa swali la kumi aliweka jibu ambalo sio sahihi na hapo darasa zima likaanza kucheka kwa chini chini na hatimae kwa sauti!
Mwalimu akageuka na kuwauliza wanafunzi wake kinachowafanya wacheke,
Wanafunzi wote kwa pamoja wakasema "mwalimu umekosea jibu la swali la mwisho"

Mwalimu akatulia na kuwaambia hiki ndo nilitaka tujifunze leo na mmekifanya kwa vitendo!
Binadam wapo kwa ajili ya kuangalia makosa yako tu na sio ukamilifu wako!
Kati yenu hakuna alonipongeza kwa kupatia MASWALI YOTE TISA!
Isipokuwa kosa moja tu la mwisho!
Ndo binadamu tulivyo

Tumeamua kuweka pembeni mada husika ila tumeona kosa moja tu la
MAHABARA badala ya MAABARA!
 
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi

Wajinga sana vijana wa leo

Bazazi
Ndo matokeo ya kula hawa kuku na mayai ya mchina.
Wanaandika P badala ya poa, au K badala ya Ok
Hahaaaa
 
Back
Top Bottom