kamikaze
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 422
- 610
fungua hiyo link Nyama ya kuku iliyotengenezwa kutokana na unyoya
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. MfanoMahabara ndio kitu gani?
Ni tabu kweli kweliWatoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi
Wajinga sana vijana wa leo
Bazazi
"Wanachoandika wanajua wenyewe" hahahahaha. Ahsante kwa elimu uliyotumegea.Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi
Wajinga sana vijana wa leo
Bazazi
bora hao kuliko mwanaume anayeandika "jomoni" badala ya jamaniKuna wale wanaotumia 'x' huwa mie hata kusoma ni tatizo
Kinachosikitisha zaidi hawaishii tu kwenye social media ila wamo mpaka kwenye vyombo vya habari vinavyoheshimika kabisa yaani TV..... Swali najiuliza wanapataje ajira? Kimsingi makosa ya kuweka h pasipostahili sio typing error kabisa INA maana vyombo hivi vya habari vinaajiri MTU wa kutyipe maandishi yanayopita kwenye screen asiejua na hawana hata manager au senior mwingine yeyote wa kuyaona haya? Kwangu Mimi hata msomaji wa taarifa ya habari anaesoma kilichoandikwa hovyo huwa namdharau maana angekuwa makini angeona na kurekebisha kabla ya kwenda hewani.Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi
Wajinga sana vijana wa leo
Bazazi
Madhara = mazaraWatoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi
Wajinga sana vijana wa leo
Bazazi
Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi
Wajinga sana vijana wa leo
Bazazi
Ndo matokeo ya kula hawa kuku na mayai ya mchina.Watoto wa siku hizi wana shida sana. Hawana au wana H; L & R; Th; Dh. Wanachoandika wanajua wenyewe. Mfano
1). Maabara = Mahabara: Hakuna = Akuna
2). Reli = Leli: Reli = Reri
3). Thubutu = Subutu
4). Dhambi = Zambi
Wajinga sana vijana wa leo
Bazazi