Dunia inakimbia kama rocket, wanawake tupeni majibu tafadhari

Dit000

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
656
856
Nawauliza nyie wanawake hivi dunia ya leo unaweza pata mwanaume mwenye sifa hizi zote na ukimpta utajisikiaje?
  1. Mpole, sio muongeaji sanaa, namanisha mwenye tunda la upole la roho mtakatifu, wakatoriki nazani mnaelewa kwenye yale matunda ya roho mtakatifu kwenye katekisimu.
  2. Anajali, anatimiza majukumu ya familia yake kuanzia chakula,mavazi,makazi,bima za afya, kutenga muda wa kuongea na familia yake yaani hayumbi hadi unajiuliza hivi hawa wanaosema vyuma vimekaza wanafeli wapi??
  3. Anajua kupika mapishi yote ya asili na ya kisasa utafikiri kasomea chuo cha mapishi, akipika unaweza muota usiku.
  4. Msafi, ananukia masaa 24, nguo safi kila siku anajua kupangilia nguo hizi ziwe za ofisini,hizi kwenye sherehe,hizi mtaani, kila aina la vazi analo yaani ni msafi hadi anakuzidi mke unapata hadi aibu yaani yeye ndo anakufundisha usafi kumetisha nguo hadi zako anakushauri kabla hujatoka unaweza sema kasomea chuo cha wanamitindo
  5. Ukiwa unaumwa anaweza kukuogesha, kukupikia, kukuvalisha, kukulisha, kukubeba inapobidi, kudeki ndani na kupamba nyumba
  6. Mtafutaji hatari, kila sekta ya uchumi yuko fit kilimo,ufugaji.sijui apartments, kazi za serikarini yumo,sijui uvuvi yumo, yaani ni master plan kila wazo la biashra ukihitaji anakupa details A to Z, kila biashra unayoijua anahusika unaweza sema alikuwa mtumishi wa serikari wizara zote katembelea
  7. Kichwani zinacharge hatari, yaani yuko smart utafikiri kasomea havard universty
  8. Mwanaume ambaye anakufanya uwe rafiki ake kila umbea unaoupata kwa mashoga zako unamfikishia yeye
  9. Mwanaume mwenye upendo kwako na kwa watu wote, yaani mtaani wanamsema vizuri kwa roho yake nzuri, kauri nzuri, msaada anatoa kwa jamii inayomzunguka unaweza sema nimepata malaika katoka mbinguni
  10. Mwanaume ambaye anajua kunyandua, akiamua kuuchambua mwili wako utafikiri ni fundi specialist wa redio kutoka msimbazi kariakoo yaani utafikiri kafundishwa sexual meditation na professor john kutoka zazzers university
 
Naona wanawake wameukimbia Uzi wao. Hii inamaana kwamba mwanaume wa hivyo hayupo. Hapo zamani za kale Alikuwepo Kornelio mwenye sifa hizi, Mungu akaona duniani siyo mahali Salama pa kuishi kwa wa namna hiyo, akaamua kumpa uwezo wa kupaa kuelekea mbinguni
 
Back
Top Bottom