Dunia inaenda kasi mnoo kumsubiria mwanamke akupende kwa jinsi ulivo ni kupoteza muda

Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
2,191
2,000
Habarini wakuu,

Maendeleo ya sayansi na technology yamechangia sana swala la mahusiano kuzidi kuwa complicated,Unaweza ukawalaumu sana hawa viumbe ( Wanawake) kwamba labda wana tamaa sana, wamesahau majukumu yao, wanapenda sana status na watu wenye pesa

Lakini ukweli ni kwamba ,mwanamke wa generation hii huwez kum treat the same wanawake wa before 1985, kwakua hawa wa sasa wamechangamka sana kutokana na maendeleo ya sayansi na technology ,na hakuna mwanamke anakubali kubaki nyuma kimaendeleo kwa kisingizio cha true love, hivyo wanaume inabidi tupambane haswa kuisaka pesa ili kuweza kwenda sambamba na hawa viumbe ,nje ya hapo tutaishia kuwalaumu lakini hatutabadilisha chochote

Kazi km kuosha vyombo, kupika,kufua na usafi kwa ujumla inapaswa afanye mwanamke ..lakini kwa dunia ya leo mwanamke akikukatalia kufanya hvo ..sio swala la kushangaza sana coz hata yeye anaishi kwa kutafuta kipato na haijalishi km hicho kipato chake anakigawa kwa ajili ya familia au laa

Kwa upande mwingine huu ukuaji wa technology na uwepo wa social networks km instagram, tiktok, snapchat n.k ..vimefanya tuzid kuona kwamba generation hii ni ngumu sana kupata mwanamke wa kuweza kufanya naye maisha kwa sababu wengi wao wamekua addicted sana na hzo social networks kiasi kwamba siku ikipita hajapost kitu anaweza kuumwa ..maishi ya mitandao yamewagueza wamekua vituko mbele ya jamii ,na chakushangaza zaidi wala wao hawajali kabisa na wanaona ni sahihi kufanya hvyo

Nnachoamini hawa wanawake wa sasa inabidi kujifunza kuishi nao kutokana na mabadiliko haya ,nje ya hapo lawama hazitaisha

With regards & thanks

Dagger-v
 

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
2,533
2,000
hilo ni kwel mkuu...................kitu ambacho siwez kuwalaumu mademu ni suala la kupenda pesa .....................wanaume lazma tuwape pesa mademu....................imagine mmi mwenyw maisha magumu kichiz sasa je kwa mwanamke inakuaje ...............na ukicompare ni kwamba wao cost zao za maisha ni kubwa kuliko sisi wanaume


lazima wanaume tuwape pesa madem
 

Brigadier Isaac

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
308
1,000
Tunajua sana ndio maana siku izi kuoa sio ushamba tu bali ni ujinga pia imagine mtu unatoa mahali zaidi ya milioni bado ghalama za harusi alafu mkiachana unamgawia asilimia 50 za mali zako ulizochuma wewe😂😂😂😂😂aiseee eti kwa visababu kwamba anakupikia,anakufulia sijui vinini 😂😂😂ndio magharama yote hayo sasa si bora umuajili house girl huwe unamlipa elfu 50 kwa mwezi😀

Kiukweli kabisa hizi ndoa za vyeti ni biashara sema ndio hivyo tu watuwabishi
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,521
2,000
Kimsingi hakuna mwanadamu anayependa mateso na shida kwenye maisha yake....hata mtu anayepitia shida ni kwa sababu tu ni jambo limemkuta na yeye ndio mhusika.... lakini kuonyesha kuwa hali hiyo haimpendezi ataonyesha juhudi katika kujikwamua na hali hiyo......

Sifa kuu ya mwanamke ni kuhudumiwa na heshima ya mwanaume kwa mwanamke ni pamoja na kumudu kumuhudumia.......

Unaposhindwa kutekeleza hilo automatically unakosa heshima na mamlaka juu ya mwanamke....na hapo ndio zinapoanza kuanguka tofali la kwanza la ukuta wa mahusiano au ndoa......
 

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
1,895
2,000
Kwamba ukimpa pesa ndo atakupenda ?? .. usemacho ni kweli lakini itoshe tu kusema HAYANAGA FORMULA ..
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,378
2,000
Tunajua sana ndio maana siku izi kuoa sio ushamba tu bali ni ujinga pia imagine mtu unatoa mahali zaidi ya milioni bado ghalama za harusi alafu mkiachana unamgawia asilimia 50 za mali zako ulizochuma weweaiseee eti kwa visababu kwamba anakupikia,anakufulia sijui vinini ndio magharama yote hayo sasa si bora umuajili house girl huwe unamlipa elfu 50 kwa mwezi

Kiukweli kabisa hizi ndoa za vyeti ni biashara sema ndio hivyo tu watuwabishi
Nafikiri una miss true concept ya kuoa. Hapo ulichoe elezea ni kusogezana. Sio ndoa
 

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
5,185
2,000
Ni kuwaroga tu, watatupenda kwa lazima

5A654B36-63ED-4559-99D2-C33217BFE814.jpeg
 

Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,182
2,000
hilo ni kwel mkuu...................kitu ambacho siwez kuwalaumu mademu ni suala la kupenda pesa .....................wanaume lazma tuwape pesa mademu....................imagine mmi mwenyw maisha magumu kichiz sasa je kwa mwanamke inakuaje ...............na ukicompare ni kwamba wao cost zao za maisha ni kubwa kuliko sisi wanaume


lazima wanaume tuwape pesa madem
Ukiwapa ww inatosha boss
 

George Barran

JF-Expert Member
Sep 2, 2015
350
1,000
Usitafute pesa kwa ajili ya wanawake eti wakupe heshima na uwahandle unavotaka wewe ili iweje vijana wengi tunahamasishana kutafuta pesa ili tupate heshima kwenye mahusiano na sio swala la kujiweka sawa kwenye maisha yako ukasaidia ndugu na jamaa zako wa karibu kijana wa Leo yupo radhi apambane ata kwa kuweka kitu Bondi ili tu amridhishe mwenza wake anapomuomba pesa uku mama mzazi haijulikani hata amekula mini ni aibu vijana tubadilike pesa co Kila kitu kwenye maisha ya mahusiano
Si semi hivi ili kuhamasisha vijana tusipambane hapana tupambane kwa ajil ya maisha yetu binafsi na so kwa ajili ya wapenzi wetu nitapambana na make wangu na so mpenzi
Alafu miaka ya hivi karibuni wanaume tutakosa kabisa sauti kwa wanawake tutashindwa kuwaongoza maana vijana wengi wa kiume kwa sas tunazama Sana kweny mapenzi kuliko wenza wetu tunapoteza asili zetu za kiume wanawake wanatutawala

Braza mwanamke hatosheki kwa pesa utakazompa peke yake mwanamke anahitaj vitu vingi tuache kuendekeza mioyo yetu

Hakuna mwanamke mwenyew fadhira zaidi ya mama yako mzazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom