Dunia inabadilika sana: Lowassa wa leo siyo yule wa 1995-2010

Ngoshanyi

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
2,456
1,500
Kile kiti cha urais wasimamishwe Mbowe,Lowassa na Lissu washindane na kamanda wa kiukweli Mr President JPM wataangukia pua. Ameisha na upinzani umeisha
 

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,155
2,000
namkubali sana lowasa hofu yangu ni afya yake tu na ndicho kilichomuangusha dakika za mwisho katika chaguzi zilizopita, mungu akimjalia afya na nguvu bado ananafasi kubwa sn.
hazina kubwa ya wapenzi na mashabiki aliokusanya 2015 bado ipo na hajaipoteza kama wanasiasa wengine wanaopoteza wapenzi wao kila uchwao kwa matendo yao.
Hazina ya wezi haiwezi kutawala nchi hii,watabaki na ndoto za safari ya matumaini hadi kuzimu ,lakini kuingia ikulu ya Chamwino hizo ni hekaya za Abunuwas
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom