Well said, walifikia mpaka kusema jamaa anatumia pesa ya babu yake ya kwake hajaanza kuitumia. What a stupidity and shame??Alikuwa Overrated sana siyo ???
"Tulikosea" ni kina nani hao!? Kuna Mrangi mmoja ndiye wa kulaumiwa.Tulikosea sana kumchagua masikini wa fikra na mawazo.
Hazina ya wezi haiwezi kutawala nchi hii,watabaki na ndoto za safari ya matumaini hadi kuzimu ,lakini kuingia ikulu ya Chamwino hizo ni hekaya za Abunuwasnamkubali sana lowasa hofu yangu ni afya yake tu na ndicho kilichomuangusha dakika za mwisho katika chaguzi zilizopita, mungu akimjalia afya na nguvu bado ananafasi kubwa sn.
hazina kubwa ya wapenzi na mashabiki aliokusanya 2015 bado ipo na hajaipoteza kama wanasiasa wengine wanaopoteza wapenzi wao kila uchwao kwa matendo yao.
2020...Kikubwa hatabirikagi hivyo kaa kwa kutulia tu 2020 sio mbali tena..........
Bado unaendelea kuamini ?Kimya kingi kina mshindo mkuu...
Naamini bado anaushawishi ule ule
Ni vile kiongozi wa malaika anakaba mpaka penalty vinginevo tungeendelea kushuhudia nguvu yake. Ila let's wait and see uchaguzi ujao