Dunia ina Watu takribani bilioni 2, je siku ya Hukumu Mbinguni Mwenyezi Mungu atatujaza katika Uwanja gani tuenee?

China pekee INA karibu 2 billion . au dunia IPI unayoongelea maana now duniani idadi ya watu ni zaidi ya billion 7

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu myoa mada nilikuwa namwona kama mtu makini, kumbe hana world data kwenye finger tips.
Kweli dunia ina nearly 7bn people huku China na India waki account for nearly half of the population.
 
Wenye Imani zenu na mnaojua vizuri Maandiko Matakatifu tunaomba msaada wenu tafadhali katika hili ili Sisi wenye dhambi 'tukuka ' tuanze kupiga ' jaramba / kujiandaa ' kuwahi Siti zetu tayari kabisa kwa Kufanywa Kuni kutokana na dhambi zetu / makosa yetu hapa Ulimwenguni.

Nawasilisha.
Mzee baba kumbe unajua kabisa kuwa una lundo la dhambi, sasa unasubir nini kutubu/kuungama.
 
Wenye Imani zenu na mnaojua vizuri Maandiko Matakatifu tunaomba msaada wenu tafadhali katika hili ili Sisi wenye dhambi 'tukuka ' tuanze kupiga ' jaramba / kujiandaa ' kuwahi Siti zetu tayari kabisa kwa Kufanywa Kuni kutokana na dhambi zetu / makosa yetu hapa Ulimwenguni.

Nawasilisha.
Mkuu Gentamycine, you are so genuine,na hili ndilo Mungu analopenda.Bwana Yesu alikuja duniani kwa ajili ya wenye dhambi, ili tuweze kuokolewa kutoka katika ufalme wa Shetani.Infact asiye na dhambi Jesus Christ is not for Him.He came especially for people like you,na hakuna dhambi ambayo hawezi kusamehe!Hata hizo zako ambazo unadhani ni kubwa anasamehe.Isn't that great!?Anasema he is knocking.Why don't you open the door for him today,badala ya kufikiria kwenda Jehanam?

Kuhusu siku ya hukumu hakuna haja ya kufikiria utakaa wapi na kama huko kutatosha au hakutatosha.Nothing is impossible to God.If he created the universe and all that is in it,atashindwa
ku-accommodate wanadamu?
 
Back
Top Bottom