pisi jacky
Member
- Oct 21, 2020
- 32
- 141
- Thread starter
- #21
Read carefully before replying child.Kama ana hela na hizo sifa zote ulizotaja anazo. Vip unanishauri bado tusiowe.
Afu huu ujumbe umekaa kama jiwe la gizani. Inaonesha kuna boy kapost hilo gari na mhusika ka panick kuambiwa ukweli kaja maliza hasira huku
Ushauri wangu jifunze kuwa mke mwema na sio kutafuta mume mwenye hela utakuja nishukuru baadae