Dunia ina majaribu makubwa, ninayopitia sasa ni mateso makali

Kutambua tatzo n moja wapo yakufunguka kutoka matatzoni, lkn n vyema ukarud kwa muumba wako kwa imani yako na s kutegemea wanadam(waganga).

Kama ww n muislamu bas rejea mskitin swali na Allah atakufungua vfungo vyako, kama ww n mkristo vivyo hvyo rejea kanisan usali kwa moyo hakikia Yesu atakufungua na vfungo ulivyofungwa.

Wachana na wababu sjui wazee, rud kwa muumba wako. Yangu n hayo tu.
 
Asante sana mkuu
 
Kwanza: tengeneza mwili wako(weka kinga) na ukisha kuwa vizur waite wazee na mwambie ukweli kisha beba mtoto wako ondoka.

Kuhusu nyumba achana nayo.

Wanawake wa siku hizi ni wachawi sana.
 
100% maelezo yako na maisha ulopitia ndio niliyopitia mimi mpaka nimekuja kuokolewa na mwanamke mwingine.

namshukuru Mungu sana Sahizi nisingekuwepo..Alafu huyu Mwanamke aliyeniokoa Jinsi Mungu alivo wa ajabu ni kwamba Enzi zangu nakuja Dsm kipindi hicho 2015-2017 nilishawahi kutana nae na nikamwaidi kumuoa.Na yeye kipindi hicho yupo upande wa pili alikuwa anaenda kwa waganga kucheki mambo yake akawaga anaambiwa kuna mtu aliwahi kukuahidi kukuoa huyo ndo mme wako..kwingine utahangaika tu..

Aiseeh wakuu tusali sana Nguvu za giza zinatujua vizur sana...na zinajua mafanikio yetu kwamba huyu na huyu wakikutana ni mlipuko wa mafanikio/utajir sasa huwa shetan anajitahid kuziba sana msifanikiwe

Ukiokolewa kwa neema kama tulivopata sisi..Mungu anatengeneza njia za mafanikio

Sasa mimi nilipohamia dsm tokea mikoani nikapata sehem ya kuishi kimara Aiseeh sasa yeye alikua anafanya kazi sehemu hana muda sana maeneo hayo tangu ameanza kazi hapo..sasa siku katika pita zangu nikamwona mwanamke amekaa na na baadhi ya watu nikamwita kama utani nikamwambia karibu home!

Siku alikuja home ila baadae tukaanza kuona kama tulishafahamiana huko nyuma! Kumbe ni kweli na ni Mungu kapanga niende nae kwenye hatma ya mafanikio..na baadae akaona kama sipo sawa maana nilikua sitaki kwenda kazi nalala tu..nataka nirudi nyumbani kijijin nikawa namwambia simple tu hivi vitu utavichukua nataka nirudi kijijin akastuka hii sio akili ya kawaida aiseeh nilirogwa mimi na niliozaa nao plus watu wengine nao maana yule mtaalamu alinieleza kila kitu..

.....Naomba niishie hapa ila maisha yamenifunza sana ila nina bonge la story Mungu siku akinijalia nitaleta story yenye shuhuda ili iwe funzo kwa wengine( Biblia inaposema Mke mwema anatoka kwa bwana amini hivo, tunakutana na wanawake ambao Mungu hajatuchagulia na kuishia majuto, umasikini e.t.c)

Sahizi Mungu ametuokoa na tunamshukuru sana Mungu kwa neema hiyo...
 
Ndugu yangu wengine wananikebehi tu hapa mara uandishi wangu mbaya kuliko kubeba content wao wanakosoa na kuona sifa, nakumbuka kuna mtu alileta kisa chake humu wakamzodoa mno baada ya siku kadhaa jamaa akajiua ndipo taarifa ilipokuja wale wale wakajidai kusikitika lakini haya mambo yapo sana basi tu watu wanajizima data
 
kabisa kiongozi! unaweza kuta hao hao wanaokebehi wamerogwa maana mtu ukirogwa haujitambui kabisa..Wanawake kwa asilimia kubwa wametuzidi maarifa ya upande wa pili( kw waganga)..wanawake wengi wanashinda kwa waganga kuroga tu..changamoto sana kiongozi..ninaamini asilimia 70 ya wanaume wote tanzania wamerogwa😄..neema tu ya Mungu iwakomboe
 
Ndugu yangu wengine wananikebehi tu hapa mara uandishi wangu mbaya kuliko kubeba content wao wanakosoa na kuona sifa, nakumbuka kuna mtu alileta kisa chake humu wakamzodoa mno baada ya siku kadhaa jamaa akajiua ndipo taarifa ilipokuja wale wale wakajidai kusikitika lakini haya mambo yapo sana basi tu watu wanajizima data
Mim nikiona mtu anakosoa uandishi wa mtu pasipo kuangalia ujumbe uliokusudiwa kama umefika au la uwa naona hana akili
 
Habarini wana jukwaa,poleni na majukumu yenu ya kila siku katika kujiongezea mkate ,awali ya yote niwatake radhi kwa maana nakiri wazi mimi si muandishi mzuri ila nimeona vyema tu niwape kisa changu kizito juu ya niliyoyapitia, ieleweke kwamba wapo watu humu kupitia maelezo yangu watanifahamu lakini kwa hatua niliyofikia sijali tena,Kwa kweli wanaume tunapitia mambo mengi sana sana na ndio maana naamini kwanini tunawahi kufa mapema,..

Kisa chenyewe kilianza miaka ya 2010 hivi pale nilipokutana na mdada mmoja mwenyewe wa mji kasoro bahari alikua ni single mother, wakati huo ndio nilikua namalizia malizia chuo na mwanae alikua mdogo sana ,hivyo baada ya kuwa nae kimahusiano yule mtoto mpaka anapata akili alikua anajua mimi ndo baba yake mzazi na hata alipewa ubini wangu(kosa hili) basi mimi kwa upande wangu niliona sawa tu lakini haikua bure kwa upande wa pili yule dada alikua ni mshirikina balaa hakuna mfano ..basi ndugu zangu kiukweli kabisa nilifanyiwa madawa nikawa zoba ndugu zangu hata mama mzazi alikua anaumia sana lakini dah uchawi?

Kweli upo hali iliendelea hivyo lakini balaa lilizidi baada ya kuzaa tena nje na mwanaume mwingine na nikawa najua kabisaa lakini sikujali kabisa na ndio kwanza mimi nilikua wa kwanza kumficha yule mtoto wa pili ndugu wasijue, nb yule niliyemkuta nae niliwaeleza ndugu kuwa ni wa kwangu ,basi ndugu zangu yule dada ndio akakoleza madawa vibaya mno nikazidi kuwa fala kabisa..,hapo bado sikustuka baada ya miaka kupita ndipo akaja kunizalia mtoto mmoja mdogo na ieleweke kwamba hatukua tunaishi karibu sababu ya kikazi zangu kuhama hama ,hapo ikawa mbili moja akiwa anaongoza mbele kwa kufupisha kidogo basi siku moja nilienda dom kikazi nikakutana na binti mdogo tu na hapo kwa kweli moyo wangu ukaangukia kumbe ndio ukawa mwanzo wangu wa kufunguliwa ,amini nakueleza unaweza funuliwa kupitia matatizo.

Yule binti wa dodoma alipata ujauzito na baadae nikaletewa (kama kususiwa ) nitalieleza hilo siku nyingine kumbe kimbembe kilikuja yule dada niliyekua nae mwanzo alikua kila nnapomtumia hela ya matumizi alikua anawagawia wanaume zake huko na kisha hela hiyo hiyo niliyotuma akawa anapeleka kwa waganga azidi kuniroga na kuangalia kama nimestuka au laa, (inauma sana) baada ya kuona kwenye rada zake nina mwanamke ana mimba akaamua aue mtoto

Basi siku ya kuzaliwa mtoto kweli alifariki katika mazingira ya ajabu sana sana nikazika mwanangu kwa uchungu mwingi sana .Sasa niliyajuaje hayo iko hivi baada ya kuona kama kifo cha mwanangu kila uwalakini nilienda kwa mzee mmoja ,kufika tu aliniuliza majina na kumpa baaasi mzee akaflow kama ifuatavyo,..kwanza alinitajia kazi yangu mimi ni wangap kwetu kisha shida iliyonipeleka akanipa pole sana sana na kuanza kunielekeza.

Akaniambia mwanangu mwanamke uliyekua nae ni mbaya sana akanipa mpaka alipo na wanaishi wangapi ndani kwao kitu ambacho ni kweli ni hivi yule dada baada ya kuniona nishakua bwege akanizalia mtoto mwingine nje ya niliyemkuta nae na muhuni mmoja hivi, basi kumbe akaungana na huyo mwanaume wake kutaka kuniangamiza kabisa ili waje kurithi mali zangu na wao wawe na maisha yao(wanawake hawa) kumsaidia kote huko na hata hakuniwazia mema ndio kwanza akataka kuniangamiza na nakumbuka mara ya mwisho nilitaka nichukue mkopo nimalizie nyumba( amini usiamini nilimjengea nyumba kwao kwetu sina hata kibanda cha kuku)kisha akaniambia nikope alafu nimfungulie duka kubwa sana na biashara ya dala dala na nikakubali kumbe mtaalamu akaniambia baada ya kufanya hivyo ndio ungekua mwisho wako maana walipanga na huyo mwanaume wake ukishawafanyia mambo hayo tu wakumalize kabisa waishi kwa amani ,inauma sana ndugu zangu...,

Kingine mtaalam akasema kila unachokifanya lazima akijue kwa maana amekutangulia mbele na hakuna kitu naweza kumficha na kiukweli yule dada sikuwahi kuwa na hisia nae kabisa sijui yani yule mzee akaniambia, mwanangu hawa japo unatuma hela unalisha yeye wanaume zake ,wanae na kaka zake pia hela hiyo hiyo anatumia kukufanyia madawa na baada ya kujua una mwanamke mwingine alitaka aue mwanamke na mtoto ila alimshindwa mama mtu akakaua kichanga na ili atimize hayo alilazimika kulala na chizi mmoja hivi ambae nilimfahamu lakini niliambiwa na mtu ambae hata hajawahi kukanyaga hapo mtaani,

Basi nilichoka vibaya mno kumbuka yule mtoto wa kwanza ananijua mimi ni baba yake mzazi mana tangia kachanga nahudumia mbaya zaidi aligombana na mke wa kaka nae akaenda kumroga akashindwa badala yake akamroga mtoto wa kaka yangu kama kisasi kwa mama yake ndugu zangu mtoto anaumwa kifua yule sijapata kuona hata kuhema kwa tabu ,pumu si pumu hospital hawaoni kitu kabisa kumbe kaka aliwahi pita sehemu akaambiwa anayemuumiza mtoto ni yule dada wao wakaona wakiniambia ntawagombanisha lakini kumbe ndio nilizidi kupotea...

Kiukweli baada ya kuyajua yote hayo akili ikarudi kama mtu aliyemwagiwa maji hata ikafikia hatua tupo nyumbani amekaa anazinda kabisa sipiki upike wewe na kweli nikaanza kupika yeye ananitazama tu mama aliumia sana lakini hakusema kitu ni mambo mengi mengi sana nilifanyiwa kimazingara hata ikafikia hatua naenda kumuona mtoto wanaume zake wanakuja hapo hapo tunakaa wote kama mafala kabisa yani sikuona kama nimove on nilikua bwege haswa.

Naandika haya huku moyo unavuta vibaya mno mno asiyetaka kuamini silazimishi atakayeona nimetunga aamini hivyo hivyo ila ndio ukweli mgumu huo kwangu...,basi baada ya kujua hayo ndipo chuki ikaanza ingawa wazee na ndugu zangu niliwaeleza wakasema nitulie nisionyeshe kuwa nimejua lakini nashindwa kabisa kaka zake eti nao wananipigia wananigombeza kwanini nimebadilika sio kama zamani how? Wanashirikiana pia? Mungu si Athumani siku nimekaa ghetto akanipigia moja ya rafiki zake wakubwa ambae amemgeuka akanipa ukweli wote mwenyewe akaniambia "kaka mji mzima ukija mpaka tunatamani kulia jinsi anachokufanyia mtu wako na unavyomjali na aibu anazokutia mtaani nikazidi kuchoka akaniambia kaone wazee kwenu umechezewa vibaya mno na hapo nishayajua kwa yule babu lakini bado nikaelezwa huko tena na rafiki yake...

Basi nna mambo makubwa mawili kwanza kutoka moyoni sitaki hata kumuona yule dada lakini mwanangu sasa nafanyaje na ndio kwanza ana miaka 2 hivi nimchukue au mana jana tu kaka alipita pita kwa wataaalam na yeye kwenye mambo yake akaona yule dada amenipangia aniue kwa ajali ya gari au aniue kwa kazini na mnaona hapo ndugu zangu?

Basi hayo ndio kwa ufupi sana nimeona leo niwaeleze mjue dunia ya sasa sio we mtu kila kitu ulipata leo malipo yangu ni hayoUSHAURI wenu kwa sasa ni muhimu zaidi kama utataka kejeli tafadhali baki nazo tu niko serious katika hili na uzi huu ubaki hapa hapa mana kuna ndugu zangu wa kukufata jukwaa zingine kwa quotes zao..mkawe na siku njema

sasa uyo mganga ameshindwaje kukuwekea kinga asikuroge tena
 
Wanaosema masingle mama ni wachawi, waje hapa niwaonyeshe binti wa miaka 24 lakini kutwa kwa waganga hadi kuhongwa anatumia ndumba, Kuna watu ni wachafu kinoma
 
Back
Top Bottom