Dunia Imeniangukia Nishaurini Vyema nimeumiaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! !!

Status
Not open for further replies.
Mar 19, 2008
98
24
Mwenzenu Nimeoa nina Mke ila hatujabahatika kupata mtoto hata mmoja. Ndoa yetu ilikuwa nzuri sana hadi niliporudi Jana jioni. Kawaida Ijumaa nawahi kurudi.

Nimefika nikamkuta wife kaandaa Menu kama kawaida, Nkaoga kwanza na kuamua nifaidi haki yangu kwanza alafu ndo nipige msosi niangalie TV. Cha kushangaza wajameni si nikakuta K*ma ya mke wangu Imetanuka Vilivyo. Nkawasha Tochi ya simu na taa nimulike vizuri nkakuta Mke wangu kaingiliwa tena na jamaa mwenye LiMguu la Mtoto. Nilipomuuliza kwanza alidhani natania ila alivyoona nimekasirika ile mbaya alikataa katakata na kuapa viapo Vyote vya mungu wake.

Nijuavyo mimi mke wangu Muaminifu, sijawahi kukuta hata msg ya ajabu kwenye simu yake wala kumhisi vibaya au kuona dalili zozote kuwa anatoka nje ya ndoa. Nyumbani tupo wawili tu nyumba nzima. (Tumepanga Upande Wote). Kila alivyozidi kukataa alinitia hasira kali sana. Kwa hasira ugomvi ulikuwa Mkubwa kiasi kwamba hadi ilivyofikia saa 3 usiku nkawa nshamfukuza. Alivyokataa kuondoka usiku ule Kipigo kilifuata (Sijawahi kumpiga Mke Wangu toka nimuoe). Nlimpiga vibao, makofi, n.k mpaka akawa analia kwa sauti kubwa sana huku akielekea nje. Alivyofika Nje ya nyumba nlifunga mlango na yeye akaa mlangoni pale huku Kilio kikizidi akiwa analalamika namuonea.

Ilivyofika mida ya saa tano Usiku nikamtupia begi lake la nguo nje alipo na kumuamuru arudi kwa aliye mto*ba. Aliendelea kulia kwa muda wa lisaa lizima tena huku bado akisisistiza namuonea. Hadi saa sita kama na nusu usiku huruma kidogo kwa mbali iliniingia nkamfungulia mlango aingie na mimi nikachukua begi langu la nguo na kusepa. Yeye aliingia ndani na hapa kilio kilizidi sana alivyoniona naondoka.

Hadi naandika hivi sasa nipo kwa mshkaji na nyumbani kwangu napaona Pachungu. K*ma ya mke wangu naijua toka tuko wapenzi kabla sijamuoa sijawahi kuiona kubwa vile. Nahakika katumbukizwa Limti. Sijalala hata chembe na wala usingizi sina, Asikwambie mtu Mke anauma jamani.

Nia yangu ni Kumuandikia Talaka asubuhi hii na kumpa dereva Tax apeleke huku nikimpa siku Saba za kuondoka pale nyumbani. Nina karatasi na Peni mbele yangu, mkono unatetemeka kila ninavyoshika peni, machozi hayaniishi na wala hata sijui talaka inaandikwaje. Siamini kwamba huu ndio mwisho wetu. Ndoa yetu ni ya Kiislam na hali niliyonayo sasa najuta Kuoa wala sidhani kama ntakuja kuoa tena.

Hadi jana usiku nlikuwa na Imani Mungu kanipa kila kitu, kazi inayonipa hela ya kula, furaha ndani ya moyo wangu sasa nimeamini mungu Kaninyima MKE muaminifu. Ndugu zangu wanampenda mke wangu alafu wote wapole, hivyo watashauri nimsamehe tuuu nawajua. Kushirikisha ndugu naona kichefuchefu labda watu baki kama nyie waungwana embu niambieni mngekuwa nyinyi mngefanyaje? Kichwa kinaniambia niandike talaka ingawa moyo na mwili haswa mkono wa kulia vinasita. Na huku kulia ninakolia kila wakati sijui ntajizuia vipi.
 
^^
Hakuna adhabu nzuri kama kumsamehe! Halafu unaufuata ukimya kwa mwezi mmoja ndani ukijua ufanye nini la maana ila kweli hapo hata ungemfumania laivu asingekubali ni yeye.
^^
 
nimepa ufafanuzi katika yafutayo:
1.umewezaje kujua kapigwa na mwanaume mwingine kwa kuangalia kwa tochi.
2. je kutanuka kwa papuchi ni dalili za kuingiliwa na jamaa mwenye dushe kubwa kama la kwangu?
3.una muda gani wa ndoa yenu mpaka unalalamika hujapata mtoto.
4.ni ndoa ya dini gani hiyo yenye kurusuhusu kumtimua mke pale unapomuhisi vibaya..
maskini wa akili nifafanulie au ndio maskiniwaakili?
 
Last edited by a moderator:
Pole ndugu, wenye ekpiriensi wanakuja, ila endelea kushikilia kalamu na karatasi kwa talaka kabla hujapata mawazo tofauti!
 
Lakini inawezekana kweli umemuonea, labda kuna tatizo mwilini mwake. Mwambie awe mkweli utamsamehe, akisisitiza hajafanya usaliti nendeni hospitali mkamwone daktari aelezee situation ya huyo mkeo. Ukimpiga talaka mwenzio kama yupo ndo atafaidi zaid kwa uhuru wote na inaonekana unampenda mkeo. Utajisikiaje ukimuona na mwanaume mwingine baadae na umemuacha kwa ugomvi wa siku moja na unajua alikuwa mwaminifu siku zote.
 
Nadhani umri wangu hauniruhusu kuchangia huu uzi.

Swadakta babu.... Hebu nenda kwa mkoloni, huu ni udhalilishaji wa kijinsia. Hiyo dini inayoruhusu mke kuachwa kwa sababu za hisia ni kali aisee..... Je ana ushahidi gani??

Kakurupuka huyo......
 
Swadakta babu.... Hebu nenda kwa mkoloni, huu ni udhalilishaji wa kijinsia. Hiyo dini inayoruhusu mke kuachwa kwa sababu za hisia ni kali aisee..... Je ana ushahidi gani??

Kakurupuka huyo......

Long time no see..
 
Dah!Hapa naona "bistola" tu ndiyo ilikosa.Ndoa zina mambo sana.huyu jamaa hisia zake zinaweza kuwa sawa,ila kuna haja ya kufikiria tena ikiwemo kusamehe.
 
kaa chini uzungumze nae na usifanye maamuzi ya hasira pasipokua na ushahidi wowote
 
Muandikie talaka tatu tena teksi itachelewa,mpe dereva wa boda boda ampelekee fasta!
Kuliko kuwa na mume kama wewe unayeendeshwa kwa hisia na kukurupuka kutoa maamuzi bora huyo dada aishi bila mume.
Kwa u maskini Wa Akili ulionao hustahili kupata mke mstaarabu kama huyo anayevumilia kumulikwa na tochi,kupigwa na kufungiwa nje akisindikizwa na matusi ya kudhalilisha huku majirani wakisikia ila bado aliendelea kubaki mlangoni akikusihi umfungulie!!!
Pamoja na talaka yako muwekee ki note mwambie Ennie anampa pole na anamshauri aondoke Mungu atampa anayemstahili.
 
Hujakosea hiyo ID mkuu wewe ni maskini wa akili haswaaa!! Unaanzaje kumpiga mkeo et kisa k yake imetanuka?(hapa lazima umuombe mkeo msamaha UMEMKOSEA SANA,ningekuwa n mimi haki ya nani cjui ungelala wap?),kati ya waume bora wewe haupo!! Labda hiyo dini yako ndiyo iliyokutuma kufanya hvyo! Haya andika hiyo talaka yako sasa ili akafanywe vizuri tena bila karahaa na raha juu! na uzembe wako wa kufikiria !!! Mfyuuuu!!
 
Last edited by a moderator:
Usifanye maamuzi ukiwa na hasira, jipe muda wa kuwaza na kutuli try to stay away from her kwa muda. After masiku ukiona talaka ndio option nzuri sawa ila ukiona make na mkeo myaongee myamalize ni vyema. Ndoa sio paradise ina mabonde makongoro na kila kitu. Mm nina ndoa ya miaka ya kutosha tu sio kwamba hayo ya kuhic hivyo hayatokei yanatokea ila tunaamua kuchagua kuyaongea kuyamaliza kuyaweka nyuma na kusonga mbele. Hata kama unampenda sana na ukamuoa una fikiri ndoa itadumu bile communication na moyo wa kusamehe??
Ni hayo tuu.......waza tena na tena na tena ndio ufanye maamuzi
 
WEWE!
-UNA MIAKA MINGAPI?
-NDOA YENU INA MUDA GANI?
-UNAJUA MENSES ZA MKEO?(mzunguko wake wa siku and the like)
-ULIKUWA UMEMUANDAA KWA KIASI GANI manake usikute umeparaza weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtoto wa watu kajiachia mwili na roho unakuja kupiga piga kelele hapa!
-AF best huyu ni mke wako ujue!
-TAFITI NDANI YA NAFSI YAKO!
HIV KIMFANO USHATWANGA TALAKA HALAFU UKAJA KUGUNDUA UNACHOKIWA SICHO UTAFANYAJE,au ndo utamwambia aolewe tena af mume wake amuache umrudie?

HEBU MAMBO MENGINE MUWE MNAJIWEKA KWENYE NAFASI ZA HAO MNAOWAZUNGUMZIA!
hii ni ndoa aseee!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom