Dunia Imeniangukia Nishaurini Vyema nimeumiaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! !!

Status
Not open for further replies.
Uo ukuda wa wanawake wakuda ivo ndo staki kuona mkuu,yani ata bastola sinunui tena maana nnahasira za balaa hongera ndgu kwa uvumilivu wako utapata ufumbuz wa jambo ili,sina uzoef sana mkuu,pole sana
 
Tupite zetu kaka, tuwaache vijana wafundishane..

Wee dingi wacha zako!

Mbona kuna thread zingine mbovu kuliko hii lkn unachangia??

Au ndio wewe uliyekuwa unanyatia jiko la jamaa nini??

Teh teh teh teh!
 
Mijanaume mingine majangaa tu!! Munaambiwa ishini na wake zenu kwa akili hamtaki unataka kuishi naye kimburula! Umeniboa we mwanaume kwa kumpiga mkeo!! Miili yenyewe ipo wapi?shame on you!!!
 
Yan jamani me umenichekesha tu kwa mambo uloyafanya!!!.

Na pole kwa mkeo!

Hahahahaha! Jamani msinione wa ajabu nimecheka kwa sababu siku si nyingi mume wng mtarajiwa amekuja kachukia balaa kisa ameota kuna mwanaume kanipigia cm usiku, yani kitendo cha me kumshangaa ulizuka ugomvi ukadumu km siku nne hivi.

Hivi kwann baadhi ya wanaume mnaongozwa kwa hisia bila kufanya uchunguzi wa hicho mnachohisi kwanza?
 
Duh! Mwanaume hachunguzi k, wewe ni wa ajabu kweli. Siku zote usipende kuhukumu pasina ushahidi laiti ungekuwa mdogo wangu ningekupa mabanzi. Bora ungepima na dushelele, mwanaume unakagua kwa tochi?!!!
 
Jst kuhisi tu rafiki? Hauko sahihi, wenzako baada ya kuhisi huwa tunakaa kimya na maumivu yetu huku tukitafuta ushahidi wa hizo hisia, ukigundua ni kweli 100% ndipo unachukua hatu, ukikosa ushahidi wa wazi unaacha lipite tu. Utataliki wangapi ndg? Au ni kwa sababu hajakuzalia mtoto sasa unatafuta sababu ya kumwacha? Fikiri kabla ya kutenda
 
Nadhani umri wangu hauniruhusu kuchangia huu uzi.

Tupite zetu kaka, tuwaache vijana wafundishane..

Nawaunga mkono,nyie vijana kabla ya kuoa kuna mafunzo jinsi ya kuishi kama mke na mume,siku nyingine kama hujafundwa omba ushauri hapa JF mlete na mkeo tuwafunde!Nyie ndo mnaowabaka wake zenu,badala ya kumwandaa mkeo kwa ajili ya tendo wewe uko bize na tochi eti unakagua ukubwa wa papuchi,na kule Pemba (0713) umekagua?Kwenda uko na kibamia chako,unawafundisha nini vijana wa Mulugo waliojaa humu?Kwamba ukirudi tu home,wife uko wapi,leta tochi nikukague?Na mdomo nao uwe nao unaukagua sasa!
 
Msamaha ni adhabu kubwa kwakwe...ataukimuacha huwezi kumuoa 'malaika'
 
Yan jamani me umenichekesha tu kwa mambo uloyafanya!!!.

Na pole kwa mkeo!

Hahahahaha! Jamani msinione wa ajabu nimecheka kwa sababu siku si nyingi mume wng mtarajiwa amekuja kachukia balaa kisa ameota kuna mwanaume kanipigia cm usiku, yani kitendo cha me kumshangaa ulizuka ugomvi ukadumu km siku nne hivi.

Hivi kwann baadhi ya wanaume mnaongozwa kwa hisia bila kufanya uchunguzi wa hicho mnachohisi kwanza?

Hahahahaaaaaa hata mimi nimecheka sana! Niliwahi kupata the same kisa! Eti k imeloa sana leo haiwezekani kuna sperms, nilipigwa sana, lakini sikukubali nilimwambia mama yake wakanipeleka kwa daktari kuthibitisha!
Aliaibika vibaya sana, from there akanipenda na kuniheshimu moja kwa moja!
Dr akatueleza kwenye mzunguko wa mwezi huwa kuna mabadiliko kwenye k. Kuna siku inakuwa dry na kuna baadhi y siku karibu na period K inakuwa ina discharge zaidi! Na ndivyo ilivokuwa.
Matokeo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa lols!
 
  • Thanks
Reactions: Luv

Hahahahahaha pole mwaya! Hadi hospital kuthibitisha alionaje aibu!!! Mh bt watu km hawa ni kuwasamehe bure nadhani wanakuwa na wivu ulopitiliza.
 
Ni kweli unamuonea. Kuna mambo mengi yanasababisha K kupanuka na siyo lazima ukuni. Huenda aliosha na majo ya moto, au ana issue za kiafya. Nyie ndo wanaume wenye joto hasira kitu kidogo tu unashika pen.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom