Dunia imekwisha jamani: Amfuma mkewe akizini na mtoto wao, awaua

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
AMA kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Msemo huu unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mkazi mmoja wa Kijiji cha Nghoboko wilayani Meatu mkoani hapa, Stephano Mihilu mwenye miaka 60, kudaiwa kumfumania mkewe wa ndoa akifanya mapenzi na mtoto wao wa kumzaa.

Taarifa za kipolisi zilizotua kwenye dawati la Amani zinadai kuwa tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa Julai 22, mwaka huu ambapo baada Stephano kulishuhudia tukio hilo, aliwaua mama na mwanaye kwa kuwacharanga mapanga bila huruma.

“Jamaa aliporudi nyumbani, aliingia ndani na kukutana na tukio ambalo hakuwahi kulifikiria, alimkuta mkewe akifanya mapenzi na mtoto wao wa kumzaa, nadhani akili ilihama, akachukua panga na kuwacharanga wote mpaka walipokata roho,” alisema afande mmoja ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini kwani si msemaji wa jeshi la polisi

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
Inasikitisha sana, ni chukizo sana na adhabu yake kwenye maandiko matakatifu gadhabu iliyokama waliyoipata.

Hapo ulipotuambia tubofye hapa kitu Jiji.
 
Back
Top Bottom