The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Mkuu we acha kabisa, yaani yamenikuta mie juzi kwenye harusi, jamaa anabembeleza kama demu! Aisee yaani unakuta anajitongozesha kwako hadi unatamani hata kumchapa makofi!Dunia imeharibika, Selfie zimeharibu watu hasa wanaume, sasa huyu mwenzetu sijui ni mvulana, mwanaume au mimi na wewe hatujui.
Mkuu, unavutiwaje na sura ngumu kama hiyo? Huwa Nashindwa kabisa kuelewa kinachoshawishi mtu kuvutiwa na jinsia yake ya kiume.Aiseee mboga iyo .kwetu uwa tunakula......
Ni kweli mkuu kule Thailand wanaitwa lady boy! Yaani ukimwona unaweza ukatongoza ukajua Demu kumbe ni dume aisee!Kuna nchi ilikuwa na mjadala ili kuitambua jinsia ya tatu rasmi,kama sikosei nakumbuka ni India,Sasa hawa ma Gay ni cha mtoto kuna wale ma Shemale daah! Huwezi kujua kama ni dume,ukifanikiwa kwenda Thailand nenda mtaa unaitwa WALKING STREET utaona uchafu duniani!! Mungu anusuru kizazi hiki tu.