mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Inashangaza sana! Pamoja na ukweli ulio dhahiri kuwa mji wa Israel umekuwa makao ya wayahudi hata kabla hawajasambazwa duniani kote dunia imeamua kujitoa ufahamu na kuilaumu marekani iliyoamua kutambua na kukiri kuwa Yerusalemu ni makao makuu ya Israel! Waarabu walivamia Yerusalemu baada ya wengi wa wakazi wake kutekwa na kusambazwa kote duniani. Hekalu LA wayahudi lilivunjwa, na waarabu wakaja kujenga juu yake mskiti wa al aqsa! Japo kuna sehemu ya ukuta wa hekalu bado IPO mpaka Leo kama kielelezo cha hekalu hilo! Dunia ni wanafiki! ukweli wanaujua lakini wanawaogipa wataalam wa kujitoa mhanga, hasa wakijua wameshawakaribisha wengi wao kama wakimbizi!
Trump hajaufanya Yerusalemu kuwa makao makuu ya Israel, alichofanya ni kutambua tu ukweli huo! Hata ukiukataa ukweli huo haubadilishi chochote!
Ndiyo maana mataifa mengi yameamua kupotezea na kukaa kimya ikiwemo Tanzania!
Kama waarabu hawakubaliani na ukweli huo hakibadiliki kitu! Mwenye nguvu alisharudisha mji wake toka mwaka 1967 kwa nguvu! Halafu Leo wanamtolea mapovu Trump kana kwamba Trump ndiye aliyewanyang'anya!