Dunia ilipaswa kujitenga na Marekani mara baada ya Vita ya II ya Dunia

Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani?

Kwanini Dunia hawakuitenga ili Taifa ambalo limeua raia wasio na hatia? Mbona yeye amekuwa kumberekmbere sana kuwawekea vikwazo wenzake ilihali ye anatamba kwa kuua Raia ovyo?

Why Dunia haikumuwekea vikwazo America?

Tatizo ni kwamba kwa wakati huo Japan na Ujerumani zilikuwa zinachukiwa sana duniani kwa unyama wa kutisha waliokuwa wanaufanya!! Hadi leo wachina na wakorea hawana hamu na Japan. Kwa hiyo baada ya kipigo hicho cha nyuklia kwa Japan dunia iliona ni sawa tu!! Lakini pia hilo ni bomu jipya na dunia ilikuwa haijui kwa undani wake madhara ya bomu hilo la nyuklia!!
 
Japan tsngia zaman kabla ya vita ya 2 ya Dunia ilikuwa vizur kwakila kitu mpk Technology, Japan kutokuwa taifa tishio leo sababu kabinywa baada ya kusalimu amri kwa Marekan lakini kwanini mabomu haya Marekan anajiona ndo anahaki ya kuyamiliki na kuyatumia? Kwanini auwe wasio na hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app
unapo koment usisahau kuwa ww ni mswahili , jiulize majaribio yangekuwa wap?
 
Ni sahihi kwasasa Russia kutumia Nuclear kwa Ukraine sababu tu kakataa kuweka siraha chini?
japan alishambulia marekani kwanza , ila Urusi ndio chanzo cha hii vita maana kaanza kushambulia ukraine kwanza , kuna muda epukeni ushabiki , wazungu wote hawatukubali so hata mrusi angekuwa usa basi ungebinywa vile vile tu
 
Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani?

Kwanini Dunia hawakuitenga ili Taifa ambalo limeua raia wasio na hatia? Mbona yeye amekuwa kumberekmbere sana kuwawekea vikwazo wenzake ilihali ye anatamba kwa kuua Raia ovyo?

Why Dunia haikumuwekea vikwazo America?

Ukaidi na ujeuri wa Wajapan uliwagharimu.
Tsh
 
Ukaidi wao una tofauti na huu wasasa wa Ukraine? Ni sahihi kwasasa Russia akitumia Nuclear hapo Ukraine? Marekani alikuwa sahihi kuangamiza watu wasio na hatia?
 
Ukaidi wao una tofauti na huu wasasa wa Ukraine?
Tofauti kubwa Sana, Japan iliishambulia Marekani kule Pearl harbor na kusababisha maafa hivyo alikuwa 'aggressor', ila Ukraine imevamiwa na inapigana ili kujilinda.

Ni sahihi kwasasa Russia akitumia Nuclear hapo Ukraine?
Sio sahihi maana Urusi ndiye mvamizi na Ukraine anapigana kuilinda nchi yake.

Marekani alikuwa sahihi kuangamiza watu wasio na hatia?
Ile ilikuwa ni Vita, na Japan alikataa kujisalimisha kwa hiari hivyo hiyo ilikuwa njia pekee ya kumaliza Vita na kuepusha maafa zaidi.

Japan ndio iliyoua malaki ya raia wasio na hatia huko China, Burma, Korea na kufanya uhalifu mkubwa Sana wa kivita.
 
Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani?

Kwanini Dunia hawakuitenga ili Taifa ambalo limeua raia wasio na hatia? Mbona yeye amekuwa kumberekmbere sana kuwawekea vikwazo wenzake ilihali ye anatamba kwa kuua Raia ovyo?

Why Dunia haikumuwekea vikwazo America?

Ndugu huna uelewa was ile Vita ni kwamba kipindi kile mjapani alikuwa na nguvu kijeshi alipiga nchi tofauti na hata mmarekani alienda akapiga bandari moja kwa hiyo Sasa ikatokea wote wakakubaliana wasitishe Vita mjapan akagoma huku direction yake ni mmarekani ndipo marekani wakaona isiwe tabu kutumia maguvu yalibebwa mabomu mawili tu ya atomic siyo nuclear yakapelekwa Japan na ndio kilichotokea Japan wakaacha Vita fidia ya hapo ni mjapan akafundishwa technolojia ya kuunda gari na marekani
 
Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani?

Kwanini Dunia hawakuitenga ili Taifa ambalo limeua raia wasio na hatia? Mbona yeye amekuwa kumberekmbere sana kuwawekea vikwazo wenzake ilihali ye anatamba kwa kuua Raia ovyo?

Why Dunia haikumuwekea vikwazo America?

Hakuja kuleta amani duniani bali upanga.
 
Utakuwa na matatizo kichwani.

Baada ya Vita vya pili vya Dunia,Marekani ilitoa misaada yenye Thamani ya $ 45 Trillion Kuuokoa uchumi wa Ulaya uliokuwa umesambaratika kupitia Mpango wa MARSHAL PLAN. La sivyo,Si Urusi,Uingereza,Ufaransa Wala Italy ambazo zingelichomoka kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

Hivi wewe uko Tandale umeshiba mihogo unaropoka TU,Unafikili nchi za Ulaya ziko Bega kwa Bega na Marekani kwasababu gani?

Kama sio Marekani Kuuokoa uchumi wa Dunia baada ya WW II kupitia Marshal Plan(Ulaya) na Structural Adjustiment Programme(SAP-Afrika,Asia na Latin America),Basi mpaka Sasa Dunia ingelikuwa inaogelea kwenye Lindi la Umasikini baada ya Dikteta ***Adolf Hitler kuanzisha Vita visivyo na mbele Wala Nyuma. Sasa anatokea mtu Mwingine anaanzisha Vita dhidi ya Nchi huru Tena Karne ya 21 na bado badala ya kulaumu aliyevuka mpaka kwenda kuua watoto na wazee,badala Yake mnakosoa nchi inayosaidia nchi iliyovamiwa ili kujitetea. Hizi Akili sijui mmejaza funza na Utoko vichwani.
 
Japan tsngia zaman kabla ya vita ya 2 ya Dunia ilikuwa vizur kwakila kitu mpk Technology, Japan kutokuwa taifa tishio leo sababu kabinywa baada ya kusalimu amri kwa Marekan lakini kwanini mabomu haya Marekan anajiona ndo anahaki ya kuyamiliki na kuyatumia? Kwanini auwe wasio na hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app
af anantokea ndezi mmoja analeta upambe kwa USA na kumuita Russian mvamizi wa Ukraine.
 
Utakuwa na matatizo kichwani.

Baada ya Vita vya pili vya Dunia,Marekani ilitoa misaada yenye Thamani ya $ 45 Trillion Kuuokoa uchumi wa Ulaya uliokuwa umesambaratika kupitia Mpango wa MARSHAL PLAN. La sivyo,Si Urusi,Uingereza,Ufaransa Wala Italy ambazo zingelichomoka kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

Hivi wewe uko Tandale umeshiba mihogo unaropoka TU,Unafikili nchi za Ulaya ziko Bega kwa Bega na Marekani kwasababu gani?

Kama sio Marekani Kuuokoa uchumi wa Dunia baada ya WW II kupitia Marshal Plan(Ulaya) na Structural Adjustiment Programme(SAP-Afrika,Asia na Latin America),Basi mpaka Sasa Dunia ingelikuwa inaogelea kwenye Lindi la Umasikini baada ya Dikteta ***Adolf Hitler kuanzisha Vita visivyo na mbele Wala Nyuma. Sasa anatokea mtu Mwingine anaanzisha Vita dhidi ya Nchi huru Tena Karne ya 21 na bado badala ya kulaumu aliyevuka mpaka kwenda kuua watoto na wazee,badala Yake mnakosoa nchi inayosaidia nchi iliyovamiwa ili kujitetea. Hizi Akili sijui mmejaza funza na Utoko vichwani.
Marekani alipovamia Libya na arabuni mlitoa maoni gani? Ukraine ni kibaraka wa Marekani na Marekani ni adui urusi.
 
Bado nasisitiza kwamba mna mtindio wa ubongo,au kwenye mafuvu yenu Kuna minyoo au Utoko na si vinginevyo.

Kama hasira Zenu zinatokana na Marekani kuzivamia nchi za Libya na Uarabuni Sasa yanini Apigwe Ukraine? Kwani Ukraine anahusika vipi na Vichapo vya Waarabu alivyovitoa Marekani? Mshaurini bwana wenu Andunje(Putin) akavamie huko Marekani moja kwa moja ili mpoze machungu ya Waarabu kusambaratishwa. Kwasababu hata mkishangilia madhila ya WaUkraine haitasaidia Waarabu kutopokea kichapo Pindi Marekani akiamua,Lakini Mngelimshauri Putin aisambaratishe Washingtone kwa Mabomu nadhani Waarabu wangelifurahi kabisa. Lakini naona bado mmekunja Mikia yenu matakoni.
 
Nadhani ungesema pia USA si angeenda tu kupiga nuclear Russia amalize si ana nguvu zote mbona anaotoa pesa tu yuko pembeni? Maana leo hii ingekuwa kinchi kingine USA angeingia tu lakini jiulize mbona hataki kupeleka hata askari wake mmoja? vita pekee alivyopigana kama yeye peke yake vietnam na tunajuwa kilitokea nini vita vingi hakuwa peke yake. Kama aliizima Japan huwezi kuondoa ukweli USSR waliokoa Europe kutoka kwa Hittler na wanalijuwa hilo.
 
Bila kufanya hivyo vita ya pili ya Dunia ingechukuwa muda kuisha. Japan aliambiwa kuweka silaha chini lakini walikata. Maafa yangekuwa makubwa zaidi kuliko hayo na mamilion ya watu wangekufa sana. Kwa hiyo that was the only alternative. Na maneno ya mfalme wa Japan yalikuwa haya, kama wa Marekani mna Mungu, basis Mungu wenu ana nguvu sana
Hawakujua Mungu wao ni bomu,
Hata mrusi anatakiwa atupie moja tu zele atulie,
 
Japan iliivamia Marekani. Marekani ikapigana na kuifuata kwake ikiitaka ijisalimishe ila ubishi wa majenerali wa Japan wakagoma. Marekani ikashambulia straits zote na visiwa vyote ikabakiza mainland Japan. Bado viongozi wa kijeshi Japan wakagoma, na walikuwa ni kama wameteka mamlaka ya serikali. Marekani ikafanya analysis kwamba itaua watu wengi ikivamia mainland, ikaona kutumia nukes kuna casualties ndogo zaidi, gharama ndogo, muda mdogo kuliko kuvamia. Ikatokea hivyo na vita ikaisha na wakasaidia kujenga nchi na kuweka order
Asa mrusi si afanye ivo sasa!! Anampa kichwa dana zele na usa
 
Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani?

Kwanini Dunia hawakuitenga ili Taifa ambalo limeua raia wasio na hatia? Mbona yeye amekuwa kumberekmbere sana kuwawekea vikwazo wenzake ilihali ye anatamba kwa kuua Raia ovyo?

Why Dunia haikumuwekea vikwazo America?

Hata sasa kuna watu wanamchokoza, wakipigwa wasema ni mwonevu.
 
Etengeni Sasa, Anza na wewe, Husitumie JF maana saver zake Ni za US, Husitumie FB, Watsapp, Tweeter, YouTube, ARV, Chanjo ya polio, ndui. Madawa ya Malaria, husitumie Visa card, master card, Pepsi, Coca-Cola, Colgate, Husiangalie Movies zao, Mziki wao, na Serikali yako hisipokee msaada wa 1trion kutoka US, husitumie Boeing787-8, n k ukifanya hivyo Basi utakuwa umeitenga marekani
Uzuri ni kua vyote tunalipia sio bure, na mjue tu hata vyote hivyo akisitisha kwetu anaepata hasara kubwa ni yeye sio sisi.
Msilolijua haya yote anafanya kwa kua anavuna vingi toka kwetu anatupumbaza tuone kama anatusaidia,
Mfano sasa hivi utaskia anamsaidia Ukraine lakini nyuma yake anajua atajilipa vipi. Nyie marekani ni mzoga uliooza tunaishi nayo vyumbani mwetu na harufu unaiskia lkn unahisi ni pafyum.
 
Back
Top Bottom