Dunia ilipaswa kujitenga na Marekani mara baada ya Vita ya II ya Dunia

Yeye marekani kwanini asimpige bomu Putin kama inamkera kera. 🤣🤣🤣 Ongea na shosti
wako biden
Bado nasisitiza kwamba mna mtindio wa ubongo,au kwenye mafuvu yenu Kuna minyoo au Utoko na si vinginevyo.

Kama hasira Zenu zinatokana na Marekani kuzivamia nchi za Libya na Uarabuni Sasa yanini Apigwe Ukraine? Kwani Ukraine anahusika vipi na Vichapo vya Waarabu alivyovitoa Marekani? Mshaurini bwana wenu Andunje(Putin) akavamie huko Marekani moja kwa moja ili mpoze machungu ya Waarabu kusambaratishwa. Kwasababu hata mkishangilia madhila ya WaUkraine haitasaidia Waarabu kutopokea kichapo Pindi Marekani akiamua,Lakini Mngelimshauri Putin aisambaratishe Washingtone kwa Mabomu nadhani Waarabu wangelifurahi kabisa. Lakini naona bado mmekunja Mikia yenu matakoni.
 
Back
Top Bottom