Dunia ikimaliza kuwakamata magaidi wa al-qaida waje wawakamate na magaidi wa Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia ikimaliza kuwakamata magaidi wa al-qaida waje wawakamate na magaidi wa Tanzania.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ADAM MILLINGA, May 11, 2011.

 1. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana jamvi leo nimeamua niingie moja kwa moja ndani ya chumba hiki nikiwa na maumivu makali ambayo yamesababisha akili yangu kuvurugika kabisa.

  Mara kwa mara tunasikia dunia ikipiga vita ugaidi hata tunasikia watu wengi wanauliwa kwa makosa ya ugaidi, kwa uwezo wangu wa kufikili nimetambua kuwa neno ugaidi sio dogo na limesimamia matendo mengi mno na leo nitabainisha .

  Ndugu zangu kazi ya magaidi ni kufanya uonevu,kuua tena bila kuchagua wakubwa kwa watoto wake kwa waume na hapa kwetu tanzania wapo lakini mauaji wanayo yafanya wao ni yatofauti yanaweza kuwa sawa kwa fikra sahii kwani hata mauaji ya watu wakati wa maandamano ya amani huko arusha bila shaka ni ugaidi kabisa.
  Nisichelehe kuongea hilo tu kwani magaidi utumia divice na silaha nzito kuangamiza wenzao hayo ni mawazo ya tuliowengi ila njia yoyote ya kumsababishia mwenzako mauaji ni ugaidi tumesikia watu wengi wakifa nkwa kukosa chakula, matibabu huku fedha zao zikiliwa na watu wachache mwisho wa yote watu hao ambao wamekuwa tayari kutoa kodi hata kwa kununua maji ya kunywa, ufariki kwa kukosa uduma muhimu je huu si ugaidi? Au kwasababu hawatumii silaha? Hakika huo nao ni ugaidi tena bora ule wa al-qaida kuliko huu wa ccm kwani wao wanaolipuliwa na mabomu hufa kwa haraka tofauti na anaekufa kwa kukosa chakula, huduma ya afya kwani upatwa na maumivu makali kabla ya kuaga dunia kwakweli huu nao ni ugaidi.

  Watanzania tuchukue tahadhali nao kwani siku moja watatuua kwa mabomu ya sumu kwani sio utani serikali haitupendi hata kidogo wanapenda tuteseke tuwe masikini tukose elimu na nk. Hivyo tuamke ndio maana nikasema dunia ikimaliza kuwakamata magaidi wa al-qaida waje kuwakamata na magaidi wa tanzania.
   
Loading...