DUNIA Ijiandae kushuhudia Mabomu ya Nuclear yakitumika huko Ukraine na Urusi

Ndio ninachoeleza hapa bahati mbaya watu wanajadili kwa kuegemea utimu West na Urusi. Lakini mkuu umejadili kwa ku reason asante sana ubarikiwe.

Screenshot_20220501-012702.png

Screenshot_20220501-020759.png

Screenshot_20220501-020358.png

Screenshot_20220501-015854.png

Screenshot_20220501-015953.png

Screenshot_20220501-015832.png

Screenshot_20220501-015518.png

Screenshot_20220501-015432.png
 
Si kiwepesi kama unavyowaza. Wakifutika Asia, Ulaya na USA wote na watu wanaoishi nao wenye ujuzi tukabaki sisi wa kusini mwa jangwa la sahara, hatua ya kwanza ni kurudi dark ages halafu labda tutainuka huko mbeleni tena baada ya karne nyingi.

Just imagine wajaluo, wamasai, wagogo, wasomali, wahaya na makabila mengine ya Africa wameachiwa space satelite, vinu vya nuclear, biological weapons labs etc.

La kwanza kabisa internet itakata dunia nzima, halafu Mjaluo daktari atatibua virusi vya majaribio huko kwenye maabara kitaibuka kirusi ambacho hatujawahi kusikia, wakati tunahangaika na jinsi ya kupata barakoa vinu vya nuclear vitalipuliwa bahati mbaya na anayejiita mtaalam wa gesi puup, tunarudi enzi za ugunduzi wa moto kwa kutumia ulimbo.
Nimecheka sana hii comment yako Lakini umesahau kututaja kina Masanja hapo,sisi ndiyo tutakuwa kwenye vile vinu vya kurutubisha uranium,tutavisimamiaje ni Mungu pekee ndiyo anajua.
 
Nimecheka sana hii comment yako Lakini umesahau kututaja kina Masanja hapo,sisi ndiyo tutakuwa kwenye vile vinu vya kurutubisha uranium,tutavisimamiaje ni Mungu pekee ndiyo anajua.
Hahahaha. Naomba vizazi vyangu mpaka vya 100 huko vizishuhudie hili likitokea
 
Usije ukajidanganya kwamba urusi ina power kuliko nchi yoyote mkuu,sahau hilo.

Ogopa sana Us mkuu.

Usijje ukashangaa ana mpaka technolojia ya kuyeyusha mionzi ya nuclear isilete madhara.

Kumbuka Us Aliwahi kutumia nuclea,usidhani alikaa kizembe bila kufanya tafiti yoyote ile ya namna ya kujilimda nayo mkuu.
Bado kidogo utasema kuwa USA NI MUNGU WAKO KWENYE VITA VYA NUCLEAR URUSI ATASHINDA MCHANA KWEUPE SHIKA HAYA MANENO YANGU.
 
Huoni mabomu na makombora kila mara yanatua ardhi ya Urusi yakitokea Ukraine?

Sasa kama Ukraine anaweza kushusha makombora kwenye miji ya Urusi itakuwaje NATO wakiisaidia Ukraine nyuklia?
Vita kamili ya dunia ikianza ujue hata satellite zitalipuliwa na miundo mbinu ya nchi za magharibi kualibiwa kwahiyo siyo kama unavyo fikili wewe
 
Taarifa zisizo rasmi zakijasusi nikuwa tayari nato wamesha activate nuclear capability yao at 99% mfumo unaotumika nikwamba ukibonyeza na wewe tunakuBonyezea kiufupi kitendo wanaachia mabomu yao yani maelfu ya mabomu yatashushwa Urusi kiufupi hapatokuwa na Taifa la Urusi ikiwa atajaribu kutumia Nuclear huwo ndio ukweli yani sijuwi itakuwaje ila pia zipo hathari zitatoke kwa zaidi ya miaka kumi ktk uso wa dunia. Kiukweli tusali na tumuinbe Mungu either Putin achukuliwe na Mungu natural death au CIA na agency zingine zadunia wafanikiwe kum neutralise jamaa vita itaisha.
Wewe ni zuzu hata nato wakitumia mabomu yote waliyo nayo yakaisha watakuwa wameshambulia asilimia ndogo tu ya eneo la urusi ila miji yote wataichakaza kwa kiwa urussi ni kubwa sana nchi ya tz inaingia mara x 20 kwa urussi.....sasa kazi kazi itakuwa kwa nchi za nato nyingi ni ndogo sana na watu wake wamesongamana mijini tena ukumbuke urusi anamiliki NUSU YA MABOMU YOTE YA NUCLEAR DUNIANI
 
Urusi ana nuclear warheads nyingi kuliko NATO nzima pia ana tsar bomb Bomu kubwa kuliko yote duniani yaani bumu linaloweza kuingamiza Marekani yote.kuhusu silaha za mionzi urusi wanazo pia.
We jamaa wewe.....labda nikuulize umeshawahi kusikia USA anatangaza silaha zake ?hiv unahisi Russia mwenyewe hajui kama USA mtumbaya?....anajua ndio maana kila siku anatishia nuke na hiyo sio deal kwa sababu hata USA na NATO wamejiandaa au wameandaa na wao ma nuke yako....ikiwa Russia atasubutu kurusha basi ujue ndo utakuwa mwisho wa Russia ndio maana hata Russia mwenyewe anaogopa...majuzi rais wa USA amesema wapo tayarkujibu ikiwa Russia itajaribu kurusha...Russia Ukraine kafeli hana jipya ndo maana kila siku anatishia tu
 
Natamani nijue elimu yako...maana sio kwa utelezi huu ulioandika๐Ÿคฃungekuwa ndo mwanafuzi wangu suspension inakuhusu na razima uje na mzazi wako....
 
Bado kidogo utasema kuwa USA NI MUNGU WAKO KWENYE VITA VYA NUCLEAR URUSI ATASHINDA MCHANA KWEUPE SHIKA HAYA MANENO YANGU.
Mkuu mimi sina msimamo katikka hii vita bali mimi nina maoni tu,hayo niliyoyasema ni maoni tu.

Usilazimishe nichukue msimamo wako,mimi lolote litakalotokea katika hii vita sifaidiki na chochote.
 
Si kiwepesi kama unavyowaza. Wakifutika Asia, Ulaya na USA wote na watu wanaoishi nao wenye ujuzi tukabaki sisi wa kusini mwa jangwa la sahara, hatua ya kwanza ni kurudi dark ages halafu labda tutainuka huko mbeleni tena baada ya karne nyingi.

Just imagine wajaluo, wamasai, wagogo, wasomali, wahaya na makabila mengine ya Africa wameachiwa space satelite, vinu vya nuclear, biological weapons labs etc.

La kwanza kabisa internet itakata dunia nzima, halafu Mjaluo daktari atatibua virusi vya majaribio huko kwenye maabara kitaibuka kirusi ambacho hatujawahi kusikia, wakati tunahangaika na jinsi ya kupata barakoa vinu vya nuclear vitalipuliwa bahati mbaya na anayejiita mtaalam wa gesi puup, tunarudi enzi za ugunduzi wa moto kwa kutumia ulimbo.
kuna series moja inaitwa see kama inaonyesha hili
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hayo mabom ni ya kazi gani Kama hayatumiki? Wao wapigane nayo huko ulaya yote iwe Kama Libya,Mogadishu,au Kama ilivyo Ukraine now,wawe masikini mafukara.kipindi hicho Africa tutakuwa supa power wao tutawaamulia na kuwawekea vikwazo
akili mnazitoa wap ? km kila kitu mnaiga kwao
 
Back
Top Bottom