Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
The world is full of evil deeds. Evil pipo, evil plans evil evil evil evil
Ili twende sawa sasa inabid tutembee humo humo tu.
Jali wanaokujal peke yake, usiemjua achana nae
NO1 will save you brother/sister
Nobody cares. Mengi yamejifcha katika mapambano haya ya kusaka maisha bora
Nitoe ushaur tu.
Wekeni mipango yenu vzuri vijana wanahangaika na kuteseka mitaani, huwezi fahamu hayo unless ua there.
Sio machinga pekee ambao policy change inawaathiri na pengne hawajaandaliwa wanapelekwa wapi. Most of them ni graduates waliokosa ajira.
Hata wafanya biashara wengne pia kodi za kubambikwa etc, graduates wakosao ajira. Vipaumbele, hospitali, dawa, mafao, mtu anamaliza muda wake wa ajira hapewi kiinua mgongo hadi abembeleze and many more.
Mateso ni mengi, isifike mahala watu wakaamua liwalo na liwe.
Tuwe makini
Uzi tayari