Dunia haiishiwi vituko, kuna wanaoutumia uchawi kama starehe

Shetani ni adui aliyeshindwa. Kazi ya Yesu msalabani imemmaliza shetani nguvu kabisa. Kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu ni ushindi kwa mwamini. Watumishi wa shetani kama hao wachawi na roho zote chafu, kiboko yao ni Jina la Yesu. Damu ya Yesu imetupatia kushinda na zaidi ya kushinda. Amua kumkabidhi Yesu maisha yako kwa maana ya KUOKOKA, uwe huru na hivyo vinyamkera.

YESU NI MWOKOZI.
 
mkuu kuna ndugu anafanya uganga, lakini hiyo kazi haipendi nikama vile analazimishwa na hao mnaowaita mababu
aliishaenda kwa mganga mwenzake ili atengue akaambiwa hiyo haiwezekani
wewe ulifannyaje
yeye ni mganga
hakuna uchawi
Mimi uganga na ulozi wangu ni ule wa free will nimejifunza mwenyewe halafu nikauchakachua na mambo mengine hivyo niliubalance huku na kule haunisumbui
 
Back
Top Bottom