Dunia haiishi vituko ebu sikia njia hii rahisi ya kumnasa mke anayetoka nje ya ndoa!

Haya makubwa sana! Sasa wewe mwanaume anayemdharirisha mke wako kiasi hicho, utakaa naye tena? Maana amenganganiwa na jamaa kwente Guest, na wewe uankuja kuchomoa kisu, unakwenda naye nyumbani kweli? Nini pride yako kama mwanaume kama watu kibao wameona vitu vya mkeo? Tumia mbinu nyingine!!
 
Kwa hiyo huku mjini mwanamke yuko ofisini atapelekewa kisu huko? hivi vitu vingine vinafanya kazi kwa wamama wa nyumbani, ukiangalia wakati mwingine mume mfanya biashara wakati unaondoka yeye ndio kwanza anavuta shuka, sipati picha hapo akiona unatoka anakuwahi mlangoni na kisu chake
 
Acha watumie kukomoana!Sasa hapo sijui huyo mwenye mke akirudi atamchukua mke wake si la maana hapo ni sawa Na kujiambukiza aibu!!


Lizzy hapo akirudi ni utajiri tu, mpaka mnasuliwe inabidi kutoa hela ya uzinzi na hela kibao tu tena jamaa anajitajia mkikataa anatulia zake...Usiombe mie niliona live Kahama migodini jamani mwanaume alitoa live m2...watu na ndg walichanga hela mpaka niliona aibu wamenasana acha...
 
Lkn hii kitu sio nzuri maana mpaka mnasuliwe jamaa anajitajia hela za kukamata ugoni kibao tu, Niliona Kahama migodini pia na jamaa ilibidi atoa m2...
 
Ndg zangu,

Sina maelezo ya kisayansi lakini kuna news nimezipata kutoka maeneo ya Kyela namna wanaume wanavyowadhibit wake zao wasitoke nje ya ndoa na kula uroda na wanaume wengine. Eti teknolojia hii inatumika sana kwenye kijiji kimoja kipo karibu na mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira. Wanaume wengi wa kijiji hicho wana visu vyenye ala au mfuniko unaotunza upande wa makali. Inapotokea mume anaondoka kwa safari au matembezi ya kawaida, humwita mkewe na kumwambia ashike kisu upande wa mfuniko kisha yeye huvuta kisu na kukichomoa na kumwachia mkewe ameshika mfuniko. Baada ya hapo, mwanaume humuaga mkewe na kuondoka zake kwenda safari au matembezini. Kinachotokea hapo ni kwamba mke akitoka nje ya ndoa lazima atashikwa. Eti yule 'mdudu' wa mwanaume mwizi atang'ang'ania ndani mpaka mwenye mali aingilie kati ndipo atoke. Eti imefika mahali tabia ya wana ndoa kutoka nje, imekufa kabisa kwani familia zaidi ya tano zilikumbwa na kisa hicho. Jamani wadau mmewahi kuisikia hiyo???

Mfumo dume huo. Hao wanaume wakifanya zinaa nje ya ndoa ni nani anayewakamata?
 
Back
Top Bottom