Dunia hadaa walimwengu shujaa

Masikini ni watu wapumbavu sana mkuu!

Fikiria mleta mada anawazodoa Polepole, Bashiru na Makonda?

Hao wako kwenye mrija wa fedha, ila kwa upumbavu wa mleta mada ana hisi wanashindia dagaa kama ilivyo familia na ukoo wake.
Mkuu makonda shkamoo
 
Tabia zao zimewahukumu na wapinzani wao ndani ya chama wamepata pakuwakamatia, kisiasa wamedrop.
Bashiru na Polepole ni wabunge!
Makonda aligombea ubunge akashindwa,
Hebu niambie wamedrop vip?
 
Bashiru na Polepole ni wabunge!
Makonda aligombea ubunge akashindwa,
Hebu niambie wamedrop vip?
Ubunge wa huruma! Kutoka kuwa katibu mkuu Ikulu hadi kuwa mbunge ni sawa? Katibu mkuu wa chama dola hadi kuwa mbunge viti maalum ni sawa? Madoido yote yale aliyokuwa nayo Makonda akiwa RC na sifa zote alizokuwa akipewa, wajumbe walimkata na mamlaka za uteuzi zinaona hafai, unaona ni sahihi? Mpka kukawa na mijadala humu eti Makonda for Presidency 2025.
 
Aisee...

Bashiru akiwa katibu mkuu ulikuwa ukatibu mkuu wa milele?

Kuwa katibu wa chama ni wa milele?

Mbona basi huongelei kina Mbowe, Lema, Msigwa na wengineo waliopigwa chini kwenye ubunge?
 
Aisee...

Bashiru akiwa katibu mkuu ulikuwa ukatibu mkuu wa milele?

Kuwa katibu wa chama ni wa milele?

Mbona basi huongelei kina Mbowe, Lema, Msigwa na wengineo waliopigwa chini kwenye ubunge?
Dahaaa, Umeshinda. Wacha Kazi iendeleeeeeee.......
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom