Dunia hadaa, ukistaajabu ya walimwengu! Kuna kitu cha kujifunza hapa

Kalaga baho

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
5,408
11,090
Habari wana jf!

Nawaslim kwa jina la JMT lililotukuka.

Nirud katika mada, ndug zangu nmekutana na kastori ka kweli ka ushuhuda kamemkuta kijana mwenzetu hapa mbagala. Aaacha kabisa Yani! Wazee w pwani wamemsulubu kwa adhabu iso kifani. Iko hivi.

Katika harkat zangu y kujichangnya mtaa kwa mtaa kuijua mitaa na vionjo vyake nkaketi kijiwe kimoja hivi.. kijiwe hiki kina salun zile z miaka ileeee ya 'gillete' na 'rungu max' Mara akapita kijana na mwanamke wameingia dukani waktoka na mahitaj wanaongozana 'kibebibebi'. Watu wote hap kijiweni walisikitika mno kila mtu analaum kitendo kile, kwenye kuongea mawili matatu kwa ushuhuda wao kuwa ' Yule jamaa anamega mke wa mtu ambae wanashea mpka ugali mchana na mumew yupo ndani kalala'.

Sadly, mume hajiwez kiuchum, hiyo imekuw sabb kwa jamaa kuinjoi 'taifa lile lililopambika'. Bhas bana waknip n kastor kamoja kwamba;

Kuna mtu mzima "mzee Nyomi" miak ya 2017 alioa kigoli tu, ikawa shida sabb kashkash za 'mkamate mkamatie mkatie' huy mzee haziwez wakat kigol dam changa Yani.

Bhas akatokea kahensam tu kalamba lamba midomo na kupaka mkongo au puturuu kakawa kanasimamia shoo steji ile mpaka kigoli anaomba maji (Nadhani wazee w shoo kazkaz mnanielew). Mzee Nyomi akaskia tetes akaftilia, akagundua ukweli, akamfata kistaarabu Mara kadhaa kijana haelewi, anapita mulemule miksa kuifuja Mali ile na kuiharibia muonekano kabisa kwa jinsi alivyokuw anaifanyia fujo.

Bhas bhana... Watu wanajua, wazee wa pwani kutoka msikiti mmoja wakamfata kumuomba mzee lile jambo lake kwa mkewe awape ruhusa wakashatki kwa mungu. Mzee Nyomi hakuw n hiyana akaruhus wafanye waliyodhani kuwa ni tiba, bhas siku mke w mzee Nyomi na kijana Yule walipokutana asee dhakari(penil) iliposimaa haikushuka mpaka anakufa. Ukoo mzima ulienda kuomba msamaha mzee akunjue akawambia 'si Mimi, wliochukizw zaidi na kitendo kile kuliko mm ndo muwafate' kijana kafa mwaka juzi na dhakari imesimama
....................................................
NB : wazee msioe vijana msiowez kashkash na mwendo kasi walionao, Vijana, kuna mambo hayazuiliki has 'emotion' lakin angalia namna y kupat salama 'sio lazima mke wa mtu umlete geto mtaani humohumo au uzurure nae mitaani. Ikitokea ukaonywa direct na mwenyew jiongeze mzee mbona wanawake kibao tu
YANGU Ni HAYO
 
Hakuna uchawi hapo

Tukio kama hilo lilitokea malawi mwanzoni mwa mwaka hiyo ni excessive orgasm ambayo ilisababisha blood vessels kwenye ubongo ku-rupture.
 
Dah!
Huyo mpaka poda kujifanya kidume kutembea na mke wa mtu matokeo yake ndiyo hayo, adhabu kubwa ya 'mchobwengo kuuma kwa maumivu makali mpaka anakufa'.

Wake za watu ni wa kukaa nao mbali sana, achilia mbali kurogwa na tego, kuna kipigo kikali cha kukuletea kilema cha maisha, kifo, na kupakwa mafuta matakoni.

Wanaume pamoja na mfumo dume tulio nao wa kuiongoza na kuiamrisha dunia kiubabe tunavyotaka, ila tunanyongea ghafla tukikumbuka kitu kimoja, maumbile yetu ya sehemu za siri. Sehemu zetu za siri zinatutia mawazo sana. Tunaamini ukamalifu wetu uko sehemu zetu za siri.

Kadri umri unavyokwenda, nguvu za kiume zinapungua, ili usijitie mawazo, oa/ishi na mwanamke mnayekaribiana nguvu za kujamiiana. Mtoto mdogo ni wa kuchapa na kuondoka, siyo wa kumweka ndani.
 
Hakuna uchawi hapo

Tukio kama hilo lilitokea malawi mwanzoni mwa mwaka hiyo ni excessive orgasm ambayo ilisababisha blood vessels kwenye ubongo ku-rupture.
Enh!? Ilkuaje mkuu tupe deep details
 
Dah!
Huyo mpaka poda kujifanya kidume kutembea na mke wa mtu matokeo yake ndiyo hayo, adhabu kubwa ya 'mchobwengo kuuma kwa maumivu makali mpaka anakufa'.

Wake za watu ni wa kukaa nao mbali sana, achilia mbali kurogwa na tego, kuna kipigo kikali cha kukuletea kilema cha maisha, kifo, na kupakwa mafuta matakoni.

Wanaume pamoja na mfumo dume tulio nao wa kuiongoza na kuiamrisha dunia kiubabe tunavyotaka, ila tunanyongea ghafla tukikumbuka kitu kimoja, maumbile yetu ya sehemu za siri. Sehemu zetu za siri zinatutia mawazo sana. Tunaamini ukamalifu wetu uko sehemu zetu za siri.

Kadri umri unavyokwenda, nguvu za kiume zinapungua, ili usijitie mawazo, oa/ishi na mwanamke mnayekaribiana nguvu za kujamiiana. Mtoto mdogo ni wa kuchapa na kuondoka, siyo wa kumweka ndani.
Nakubaliana na wew kibishi, umenikumbusha kitabu cha Harris edition ya 2016 kwa hii analysis yako
 
Enh!? Ilkuaje mkuu tupe deep details
Alikuwa anaitwa charles majaliwa umri miaka 35 aliripotiwa kufariki, mwanamke aliyekua akishiriki ngono na marehemu ndiye aliyetoa ripoti polisi

Jopo la madaktari kutoka kituo cha afya Migowi likaja ku verify kua mchizi alifariki kutokana na msisimko (excitement) uliotokana na utamu (sweetness) iliyochangia mishipa ya damu kwenye ubongo ku-rupture
 
Alikuwa anaitwa charles majaliwa umri miaka 35 alilipotiwa kufariki, mwanamke aliyekua akishiriki ngono na marehemu ndiye aliyetoa ripoti polisi

Jopo la madaktari kutoka kituo cha afya Migowi likaja ku verify kua mchizi alifariki kutokana na msisimko (excitement) uliotokana na utamu (sweetness) iliyochangia mishipa ya damu kwenye ubongo ku-rupture
Nasikia mkuu Scars Kuna uwezkan pia w kupandisha presha mpaka kifo ukitumia Viagra.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom