Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

Kuna jamaa alisema kwny comments wacongo hawajui kusave pesa wao ni bata tu,kuna jamaa akawa amemjibu hizo ni story tu nenda Lubumbashi,masisi etc ujakionee kufuru za wacongo.

Nikawa nimesema ngoja nim-tag mzee baba specialist wa maeneo hayo,hahah.
Hahahaha ,kwema lkn Mkuu
 
Mkuu mbona Wizikid alikuja kufanya show hapa TZ akaletwa na Wcb hiyo haimaanishi Diamond ana mpunga kuliko Wizikid. Sasa kama kamleta Koffi kaja piga show avute mkwanja wake.

Mo na pesa yake yote bado hakatai 500 ya masikini anayenunua maji yake.
Bado Bakhresa anawatembeza watu kuuza ukwaju,anawategemea hawa watembea na miguu ndio wamfanikishie biashara zake na vivyo hivyo kwa Koffi na Domo
 
mwaka 2016 ilisemekana utajiri wa mond ni zaidi ya madafu 10bln,

so hapo hamna hamna mwaka huu hazipungui 30bln.
IMG_1178.jpg
 
Mkuu mbona Wizikid alikuja kufanya show hapa TZ akaletwa na Wcb hiyo haimaanishi Diamond ana mpunga kuliko Wizikid. Sasa kama kamleta Koffi kaja piga show avute mkwanja wake.

Mo na pesa yake yote bado hakatai 500 ya masikini anayenunua maji yake.
Mkuu kwa hapa tu tayari ushafunga mjadala
 
Back
Top Bottom