Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,935
- 6,844
Katiba imepindishwa na na sheria imekiukwa,basi acha iendelee tumezowea kwa hilo ktk ccm ili kuhakikisha yao yanakwenda,siwezi kubishana na wewe wakati kitu kipo wazi kabisa... wa waendelee kupiga mabomu ile ndo sheria inavosema na katiba inavotaka. Mkuu haya yanauma wewe tuyaaache tu. kila la kheri..
Lakini si na nyinyi mnataka kufanya hilo hilo? Kupindisha katiba ili kujenga hoja yenu? Mnatofauti gani na huyo mnaemlaani? Kwa mwendo hu si nanyi mkishika utamu mtawapiga mabomu wapinzani wenu!
Amandla.....